Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
- Thread starter
- #101
Da mange ataingilia kati,muone mtakavyoanikwa uchiiHahahahaha
Hamna mtu anaye nikeshea mimi hapa bongo.
Da mange ataingilia kati,muone mtakavyoanikwa uchiiHahahahaha
Hamna mtu anaye nikeshea mimi hapa bongo.
HahahahaSana mizigo ya bei rahisi bongo kila kitu kiko juu!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maswala ya kwenda kununua mkate kwa laki moja hatutaki we unaenda kutuongezea umaskini tu
AhahahahahhahHapa pamenichefua....
Umenitachi kunako. Imagine akatekwa na toto la kinyarwanda[emoji24] [emoji24] [emoji24]Nimekutachi naomba tuungane vita hii tuishinde
Sema hapo umeongea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan unakuwa msafiii kumbe shetaniii mzuri tuUjue malaya wa nje ya nchi ni bora kulikl malaya wa bongo.
Ukiolea nje raha huogopi hata kama ule muoa ana eza kutana na ex wake waka pasha.
Akuuu!!Mbongo wangu ananitoshaa!!!;Hahahaha
Ila realy kuolea nje ya nchi ni nzuri
Na hata wadada wa kutanzania tafuteni wanaume wa nje ya bongo
Its gud
HahahaSema hapo umeongea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan unakuwa msafiii kumbe shetaniii mzuri tu
Tunasema ukweli kabisa kutuongezea umaskini hatutaki kaoe nchi tajiriMmh jamani mawifi mbona mnazingua!
Kwa kweli mimi hata mtu wa Kenya tuu siwez shindwa, hata sudan kusini ikiwezekanaAkuuu!!Mbongo wangu ananitoshaa!!!;
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkate laki,shopping waenda na toroli la hela dukaniTunasema ukweli kabisa kutuongezea umaskini hatutaki kaoe nchi tajiri
We jishaueeeHahahaha
Ila realy kuolea nje ya nchi ni nzuri
Na hata wadada wa kutanzania tafuteni wanaume wa nje ya bongo
Its gud
Ahhahahaha leo nakuvunja mbavu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mnaenda kufulia hukoo!!Sudaan teynaa!!Kwa kweli mimi hata mtu wa Kenya tuu siwez shindwa, hata sudan kusini ikiwezekana
I accept the challenge
Tuungane tupinge hii vitaUmenitachi kunako. Imagine akatekwa na toto la kinyarwanda[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Vibaya mnooo!!!Ahhahahaha leo nakuvunja mbavu
Unamjua mangeKwa kweli mimi hata mtu wa Kenya tuu siwez shindwa, hata sudan kusini ikiwezekana
I accept the challenge
Yaan acha tu anataka kuongeza mikosi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkate laki,shopping waenda na toroli la hela dukani
Nipe list ya nchi tajiri ili nijue naweza nikampiga chini huyo wa Zimbabwe.Tunasema ukweli kabisa kutuongezea umaskini hatutaki kaoe nchi tajiri
Wadada wapo kama matairi ya gari[emoji23] [emoji23] [emoji23] mnaenda kufulia hukoo!!Sudaan teynaa!!
Wadada wenyewe wa kawaida hata sie tunawazidi uzuri