Mosquito coil...Hahahaha basi kama huwa nakuchekesha vizurii ,na zile dawa za mbu za zamani za duara unazikumbuka ziliitwaje?
Ndio mbaki nyumbani sie tunanukia kama maua yaan mnakimbikia mizoga
Hapana ulipe mahali kwanza ndio uanze mechi ili ukiseoa hatuna hasara
Mi nazipenda pesaWanawake wa Tanzania hatupendi pesa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaahahahahahah ice man anataka kuoa burundi kama si kutuongezea umaskini tu
Eee na kidevu kirefu kina kona kama mlima sekenkeHahaha
Usha muona bila makeup?
Utafanikiwa akikuacha atakuwa falaYaan natumia hicho sijui nitafanikiwa
Wananyonga kwa kutumia visimi shauri yakoWatutsi kwa kweli! Mtaniua!
We tutakupa limbwata la kinyama awe na adabuHakuna nje wala nini, tutaoana humu humu ndani [emoji19][emoji19][emoji19]
Kabisa hatutakii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nawaletea wakimbizi
HahahaHakuna nje wala nini, tutaoana humu humu ndani [emoji19][emoji19][emoji19]
Kwanini atakua fala mwambie hapa aoneUtafanikiwa akikuacha atakuwa fala
Tunaomba ukishindwa kuoa uswis pesa zinapotengezewa tunaomba uoe china au kwa kidukuHahaha
Hivi nishindweje jaman hata Msumbiji
Yaa mtwara halaf kwa mbelee mweeeh!
Ehe! Kwa makonda tena!?Tuende tukatoe tamko kwa makonda au kwa raisi
Anavyopenda sifa weee ili tumpe kura tenaEhe! Kwa makonda tena!?
Kwa mara ya pili?
Bora mtupeleke kwa Baba Joy maana atatwambia tupige kazi kuelekea Rwanda
HahahahaEee na kidevu kirefu kina kona kama mlima sekenke
Inabidi nifie kwa Watusi tu, Maana wananidatisha mno!Wananyonga kwa kutumia visimi shauri yako
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Tunaomba ukishindwa kuoa uswis pesa zinapotengezewa tunaomba uoe china au kwa kiduku
Na ndani je mzuri?titi lishalala lile limebinuliwa kwa msaada wa bra weweeee naomba usinifanye nikasema mengiHahahaha
Acha hizo bhana yule sista mi naona ni wa level za juu sana
Hahaahahah hatutaki kuongeza umaskin ,umaskini uliopo nyumbani unatutoshaa ati wazungu wengi wengine raia wa malawi,uganda hatuwataki hao[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Umenichekesha ulipo sema mzungu wa Zimbabwe eti
Kufa tu nawe huna faidaInabidi nifie kwa Watusi tu, Maana wananidatisha mno!
hamna anaewafata wanakuja rwanda..unaongea ukiwa hujui kuwa watz ni ndugu wa wanyarwanda ni mipaka tuu imetenganisha...Ila ukanda wa kagera, geita, shinyanga,kigoma wamejaa watz Wenye damu za kinyarwanda, kikongo na kirundi...usiogope ushindani just be betterMtuachie waume zetu pambaneni na wanaume zenu wamelea kama mlenda