Maziwa ya Azam yana hitilafu kimaelezo

Maziwa ya Azam yana hitilafu kimaelezo

undugukazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
315
Reaction score
82
Hakuna whole milk inayotengenzwa kwa skimmed milk powder.

Anatuuzia maziwa ya unga na kama wabongo tulivyo tunakunywa tu bila kusoma. Ni sawa anatumia teknolojia ya UHT ila kwa ubora wa maziwa yake si ya kuuza bei anayouza kwa maana hatumii maziwa halisi kama wengine.

Kwa ujinga wetu tuendelee kulamba maziwa ya unga tu.
 
Jamani, hili suala la haya maziwa linapaswa kutolewa maelezo na wataalamu wa vyakula, hasa TFDA na TBS.

Haya maneno yamekuwa yakirejewa mara kwa mara. Hapa kuna kitu.

Naahidi hii itakuwa moja ya kazi za kuzifuatilia kwa wiki hizi mbili. Afya za Watanzania ni jambo muhimu sana.

Kama TFDA/TBS wanapita humu, huu ndio wakati wa kutoa maelezo ya kitaalamu.
 
Nidooooooooooooooooooooooo mmekasirikaaaaaaaa weraaaaaaaweraaawapiiidinamilkiiiiiiiiiiiiiiii weweushaonaaa/////Nipeeenipeeeeeeeenikikupaaaaautareeeeeeewaaaaaaaa arrirrriirriiiiiii
 
Tanzania watu wanatajirika sababu ya ujinga wetu!

Mfano hata yale Maji ya Uhai, ubora wake upo chini sana.

TBS nayo inapaswa kupimwa kiwango cha ubora wa machine zake za kupima bidhaa za walaji???
 
Zamani waliyaita Kilimanjaro Natural Spring water. Nilisikia walitakiwa wabadili jina hilo kwakuwa si kweli yale maji ni ya spring(chemchemi).
Sikumbuki source yangu kwa kuwa ni kitambo sana na hii ndiyosababu ya kuyaita "Kilimanjaro Pure Drinking Water" tofauti na mwanzo
 
Uyo bakharesa hana hata ranchi ya ng'ombe kama tanga fresh do u think hayo maziwa fresh atapata wap pale ni kachukua maziwa ya unga yamekorogwa kajaza mle ukitaka kuamin nunua maziwa yale makubwa usiyachukuche geuza chin juu afu kata lile boksi utakuta maziwa kibao yameganda
 
1424233615363.jpg
 
ni mabaya akupindukiaa mi siwezi kuyatumia kabisa namshukuru Mungu ninapokaaa kuna ngombe
 
Nidooooooooooooooooooooooo mmekasirikaaaaaaaa weraaaaaaaweraaawapiiidinamilkiiiiiiiiiiiiiiii weweushaonaaa/////Nipeeenipeeeeeeeenikikupaaaaautareeeeeeewaaaaaaaa arrirrriirriiiiiii

hivi viroba na gongo vitaua watu maana mapovu yanamtoka namna hii atakua sio mzima huyu
 
Kuna vle vjui vyake vdogo kuna moja imechorwa ndiz,strawberry na vinini sijui jaman ukisoma kwenye maelezo vtu vlivyotumika kutengeneza amna hata kimoja cha kwenye picha. Watanzania tupende kusoma maelezo kabla ya kula kitu afya ni muhmu aisee
 
Back
Top Bottom