Maziwa ya Azam yana hitilafu kimaelezo

Maziwa ya Azam yana hitilafu kimaelezo

lets call a spade a spade........Brookside(Whole milk,Kenya)>Tanga Fresh>AZAM MILK
tanga-11-233x207.png
images
 
Hata zile Azam Juice, hakuna matunda pale ni poda kwa kwenda mbele. Akinunua mananasi na machungwa anakamua, anagandisha kisha anauza arabuni. Anaporudi toka Arabuni ananunua kemikali anawakorogea na maji. Nanyi mwachekelea eti juice ya mananasi ya kutoka Chalinze.Thubutu
 
Wenye kuchangia chama hakuna shida.
Muuza matunda na baskeli yake kila siku anakimbizana na askari jiji...lakini muuza ice cream wa azam juu ya kuwa wanakua kero kwenye barabara na kusababisha foleni na hata ajali hawaguswi...
Ila pangu pakavu kila siku shida hii ndio sera ya changia chama yako yende
 
Nidooooooooooooooooooooooo mmekasirikaaaaaaaa weraaaaaaaweraaawapiiidinamilkiiiiiiiiiiiiiiii weweushaonaaa/////Nipeeenipeeeeeeeenikikupaaaaautareeeeeeewaaaaaaaa arrirrriirriiiiiii

Kudadadeki
 
Nchi hii bana!! Hata maji ya Kilimanjaro hayatokani na chemechem. Ni ya bomba ambayo yanachujwa kama yale ya Uhai. Wapi TFDA na TBS? Rushwa itatuangamiza

Baada ya kubanwa,walibadilisha bio natural spring water.
 
Wenye kuchangia chama hakuna shida.
Muuza matunda na baskeli yake kila siku anakimbizana na askari jiji...lakini muuza ice cream wa azam juu ya kuwa wanakua kero kwenye barabara na kusababisha foleni na hata ajali hawaguswi...
Ila pangu pakavu kila siku shida hii ndio sera ya changia chama yako yende

Nilikuwa najiuliza tofauti ya hao was azam na wale wanaotembeza ambao kila siku wanakimbizwa na askari was jiji!
 
ni mabaya akupindukiaa mi siwezi kuyatumia kabisa namshukuru Mungu ninapokaaa kuna ngombe

Kuna mjeruman mmoja aliniambia kuwa

Anawashangaa sana wa Afrika,

Anakwenda super market kununua

Nyanya ya kopo na huku ameziacha nyanya sokoni
zikioza, au ananunua Juice ya kopo na huku ameacha
matunda sokoni yakioza

Binafsi sijawahi kununu bidhaa ya aina yoyote ya huyu
mzee labda biscuite nilikula zamani sana.


INABIDI SIKU WAKAZI WA DAR MWENDE KIWANDANI

KWAKE MUMWAMBIE AWAONYESHE JALALA ANALO

TUPA KOKWA ZA EMBE AU VIFUU VYA NAZI.
 
tanzania watu wanatajirika sababu ya ujinga wetu!

Mfano hata yale maji ya uhai, ubora wake upo chini sana.

Tbs nayo inapaswa kupimwa kiwango cha ubora wa machine zake za kupima bidhaa za walaji???


mi naona bidhaa zote zinazotengenezwa na kampuni za waislam zipigwe marufuku mkuu,,,,au we unaonaje eti
 
mi naona bidhaa zote zinazotengenezwa na kampuni za waislam zipigwe marufuku mkuu,,,,au we unaonaje eti
Nyemanze sina uhakika na hilo unalosema kuwa dini ina nafasi kwenye ubora wa budhaa yyt ile, huo ni mtazamo wako mm siungani na ww kwa hili???
 
Last edited by a moderator:
Watanzania tuache majungu hayatusaidii siku mtakuja kusema hata unga wa Azam ngano/sembe na wenyewe hautokani na ngano/mahindi.Tunapenda kulalamika sana kuna mtu ashawahi kwenda kwenye viwanda vyake na kuona jinsi wanavyotengeneza? Manyerere Jackton ameonyesha njia ingawa nina wasiwasi nayeye(Labda ana-beep Azam waweze kumuona na kufanya yao ya kumpa mgao aandike vizuri hata akikuta tofauti).Kama hatuna maelezo ya ukweli basi tupige kimya tuache mamlaka husika TFDA watueleze ukweli.
 
Tanzania watu wanatajirika sababu ya ujinga wetu!

Mfano hata yale Maji ya Uhai, ubora wake upo chini sana.

TBS nayo inapaswa kupimwa kiwango cha ubora wa machine zake za kupima bidhaa za walaji???

Mie maji ya uhai labda ntakunywa nikiwa jangwani nimebanwa na kiu na sina pa kuyapata maji. Zile juice zake ndo kabisa, hazipandi haswa. Hayo maziwa sijawahi kunywa.
 
mi naona bidhaa zote zinazotengenezwa na kampuni za waislam zipigwe marufuku mkuu,,,,au we unaonaje eti

Unaona sasa nkiongea au kumsema mtu nataka kupigwa ban hivi hapo uislam unaingiaje sasa na hii topic? Nkisema kuna watu hawana akili nakuwa nakosea?

Mkuu vidodi sio kosa lake,haya ndo madhara ya baadhi ya watu ktk jamii kutumia kichwa kufugia nywele badala ya kukitumia kufikiria mambo ya msingi,unaweza kujiuliza kwanini asingekaa kimya akapata elimu tu kuhusu yasemwayo humu coz hiyo bidhaa kama ina dosari haitachagua waathirika hata yeye na anaouita uislam wake ataathirika vilevile Nyamanze next time kaa tu kimya mkuu kuliko kupost vitu kama hivi utazidi kuonekana kituko..
 
Last edited by a moderator:
Jamani, hili suala la haya maziwa linapaswa kutolewa maelezo na wataalamu wa vyakula, hasa TFDA na TBS.

Haya maneno yamekuwa yakirejewa mara kwa mara. Hapa kuna kitu.

Naahidi hii itakuwa moja ya kazi za kuzifuatilia kwa wiki hizi mbili. Afya za Watanzania ni jambo muhimu sana.

Kama TFDA/TBS wanapita humu, huu ndio wakati wa kutoa maelezo ya kitaalamu.

Manyerere nakuaminia! Ila angalia usizibwe mdomo na fuko la fedha!
 
Uyo bakharesa hana hata ranchi ya ng'ombe kama tanga fresh do u think hayo maziwa fresh atapata wap pale ni kachukua maziwa ya unga yamekorogwa kajaza mle ukitaka kuamin nunua maziwa yale makubwa usiyachukuche geuza chin juu afu kata lile boksi utakuta maziwa kibao yameganda

Tahadhari! Hata hizo juice za hiyo kampuni muwe macho!
 
Back
Top Bottom