Maziwa ya Azam yana hitilafu kimaelezo

Maziwa ya Azam yana hitilafu kimaelezo

Mie maji ya uhai labda ntakunywa nikiwa jangwani nimebanwa na kiu na sina pa kuyapata maji. Zile juice zake ndo kabisa, hazipandi haswa. Hayo maziwa sijawahi kunywa.

Sometimes ni bora ukachemsha maji ya Dawasco kwa matumizi ya nyumbani lakini sio haya maji ya UHAI😕
 
Watanzania tuache majungu hayatusaidii siku mtakuja kusema hata unga wa Azam ngano/sembe na wenyewe hautokani na ngano/mahindi.Tunapenda kulalamika sana kuna mtu ashawahi kwenda kwenye viwanda vyake na kuona jinsi wanavyotengeneza? Manyerere Jackton ameonyesha njia ingawa nina wasiwasi nayeye(Labda ana-beep Azam waweze kumuona na kufanya yao ya kumpa mgao aandike vizuri hata akikuta tofauti).Kama hatuna maelezo ya ukweli basi tupige kimya tuache mamlaka husika TFDA watueleze ukweli.

Kama utaendelea kuwaamini hao TFDA au TBS pole Sana,hao njaa tu kaxi yao kuchoma bidhaa mbivu za machinga kwasababu hawana dau LA kuwapa ila uozo was kampuni kubwa hawawezi kugusa
 
Bora mimi nakula bia tuuu na bahati nzuri azam hawatengenezi bia mtakoma nyie wanywa juice na maziwa kama ndama

,,,Mpare wa milimani,,,,
 
Hili nalo neno jaman
kuna siku nilinunua maji uhai kubwa kwa matumizi ya nyumbani nilijuta kabisaaaaaa hayana ladha kama magadi si magadi chumvi si chumvi.... basi nikaishia kuyaogea
 
Wenye kuchangia chama hakuna shida.
Muuza matunda na baskeli yake kila siku anakimbizana na askari jiji...lakini muuza ice cream wa azam juu ya kuwa wanakua kero kwenye barabara na kusababisha foleni na hata ajali hawaguswi...
Ila pangu pakavu kila siku shida hii ndio sera ya changia chama yako yende
Hili nalo neno ndugu
 
Ahsanteni kwa taarifa wadau, ila binafsi sijawahi hata kuonja pia kwasasa naendelea kujiondoa kidogo kidogo kutumia vitu vya viwandani ambavyo mbadala wake tunao mazingira tunayoishi.
 
Mie maji ya uhai labda ntakunywa nikiwa jangwani nimebanwa na kiu na sina pa kuyapata maji. Zile juice zake ndo kabisa, hazipandi haswa. Hayo maziwa sijawahi kunywa.

Mwaka wa 11 huu nakunywa maji ya uhai na sijaona ubaya wowote wa maji,nimekunywa maji ya aina tofauti,kuanzia Dasani,Kilimanjaro,Maisha,Cool Blue,Sayona etc sijaona tofauti yeyote labda wanatofautiana harufu ya maji na taste Dasani yana harufu flani hivi na kama Sayona akiongeza supply anaweza kumpiku Uhai maji yake yana kautamu flani hivi.
 
Maji ni maji ...na maji hayana ladha yoyote

Na ukiona maji matamu basi kuna KAKEMIKO kamewekwa hapo.
 
Watanzania wengi huwa hawasomi kitengenezacho kile wanachokula.
Azam ukitoa ngano,tv vingine vyote ni chemicals tu na hayo maziwa ndo powder kabisa. Sasa unakuta wajinga wengine wanafurahia kuwa maziwa yake mazito na matamu . Hivi toka lini ulishaona ngombe anatoa maziwa mazito kiasi hicho?
Anataka shindana na brookside, hajui kuwa brookside yeye maziwa anatumia maziwa halisi kabisa.
Kwenye juicr ni uzembe wetu wanywaji.
Wenye viwanda wengi wa Tanzania wamewaweka hao TFDA na TBS mfukoni hivyo usitegenee kuona kitu kikifanyika
 
Akikujibu nibipu.

Mkuu hii ni hali ya hatari sana, ni muhimu sana kujua haya maziwa yanatengenezwa na kitu gani na je, kuna madhara yeyote kwa watumiaji? Tunalaumu TBS na TFDA lakini ikumbukwe huyu jamaa amepitishwa kimataifa ISO.......na kamani kweli kuna madhara, basi uzembe utaanzia huko kwenye ISO na kushuka hadi TBS.
 
Wakati mnahangaika kuweka na kutafuta chula za cocacola zenye majina yenu wenzenu wanahangaika kuweka majina yao kwenye hati za nyumba majengo na magari zinduka acha uzuzu
 
Watanzania wengi huwa hawasomi kitengenezacho kile wanachokula.
Azam ukitoa ngano,tv vingine vyote ni chemicals tu na hayo maziwa ndo powder kabisa. Sasa unakuta wajinga wengine wanafurahia kuwa maziwa yake mazito na matamu . Hivi toka lini ulishaona ngombe anatoa maziwa mazito kiasi hicho?
Anataka shindana na brookside, hajui kuwa brookside yeye maziwa anatumia maziwa halisi kabisa.
Kwenye juicr ni uzembe wetu wanywaji.
Wenye viwanda wengi wa Tanzania wamewaweka hao TFDA na TBS mfukoni hivyo usitegenee kuona kitu kikifanyika

Kwa bongo Tanga fresh na Asas ndio wanatumia maziwa halisi ya ng'ombe... Tena Asas wanamashamba yao wanafuga wenyewe wakati Tanga fresh wanawawezesha wakulima na kununua kwao
 
Azam anataka aingie kila soko la bidhaa kitu ambacho kwa waliosoma vizuri watamuepuka. Juice zitumikazo nyingi ni Ceres sababu ya ubora wao
 
Mkuu hii ni hali ya hatari sana, ni muhimu sana kujua haya maziwa yanatengenezwa na kitu gani na je, kuna madhara yeyote kwa watumiaji? Tunalaumu TBS na TFDA lakini ikumbukwe huyu jamaa amepitishwa kimataifa ISO.......na kamani kweli kuna madhara, basi uzembe utaanzia huko kwenye ISO na kushuka hadi TBS.

Mkuu muhimu hapo sio kujua yanatengenezwaje...

muhimu hapo kuacha kula kula mavitu ya kwenye

makopo.

Kwanini ule vitu vya makopo wati sokoni vinaoza tu.
 
Sio kila anaekula hivyo vyakula vya makopo anapenda, kuna mazingira yanalazimu. Ndio maana nikauliza yaelezwe bayana madhara ya hayo maziwa. Na kama ni kweli ndio tujue kabisa kwamba vyombo vya kuanzia ISO, TBS na TFDA sio rafiki tena kwa walaji.
 
Jamani, hili suala la haya maziwa linapaswa kutolewa maelezo na wataalamu wa vyakula, hasa TFDA na TBS.

Haya maneno yamekuwa yakirejewa mara kwa mara. Hapa kuna kitu.

Naahidi hii itakuwa moja ya kazi za kuzifuatilia kwa wiki hizi mbili. Afya za Watanzania ni jambo muhimu sana.

Kama TFDA/TBS wanapita humu, huu ndio wakati wa kutoa maelezo ya kitaalamu.

Mkuu tusaidie kufuatilia hili jambo watanzania huwa atujali afya zetu kikubwa zaidi kwetu ni bei,na hii inatokana na umaskini wetu wa kipato na kiakili
 
Mkuu hii ni hali ya hatari sana, ni muhimu sana kujua haya maziwa yanatengenezwa na kitu gani na je, kuna madhara yeyote kwa watumiaji? Tunalaumu TBS na TFDA lakini ikumbukwe huyu jamaa amepitishwa kimataifa ISO.......na kamani kweli kuna madhara, basi uzembe utaanzia huko kwenye ISO na kushuka hadi TBS.

Mkuu hivyo viwango vya ubora vya Tz haviwezi pinga lolote kwa Bakhresa na sababu kubwa ni Kwamba jamaa anaisaidia sana serikali. Uji.nga mtupu wanaleta za kujuana bila kuangalia athari.

Hope unakumbuka zile ice cream zake zilizoleta madhara wakajifanya kuzuia. Nenda madukani now afu tuone uzikose na hazijabadilishwa lolote anachokifanya ni kubadili rangi za plastiki tu.

Poor Tz.
 
watanzania wengi huwa hawasomi kitengenezacho kile wanachokula.
Azam ukitoa ngano,tv vingine vyote ni chemicals tu na hayo maziwa ndo powder kabisa. Sasa unakuta wajinga wengine wanafurahia kuwa maziwa yake mazito na matamu . Hivi toka lini ulishaona ngombe anatoa maziwa mazito kiasi hicho?
Anataka shindana na brookside, hajui kuwa brookside yeye maziwa anatumia maziwa halisi kabisa.
Kwenye juicr ni uzembe wetu wanywaji.
Wenye viwanda wengi wa tanzania wamewaweka hao tfda na tbs mfukoni hivyo usitegenee kuona kitu kikifanyika

azam iko juu siku zote wenye wivu wajihehe
 
Back
Top Bottom