Mkuu hivyo viwango vya ubora vya Tz haviwezi pinga lolote kwa Bakhresa na sababu kubwa ni Kwamba jamaa anaisaidia sana serikali. Uji.nga mtupu wanaleta za kujuana bila kuangalia athari.
Hope unakumbuka zile ice cream zake zilizoleta madhara wakajifanya kuzuia. Nenda madukani now afu tuone uzikose na hazijabadilishwa lolote anachokifanya ni kubadili rangi za plastiki tu.
Poor Tz.
ISO sio viwango vya ubora vya TZ, ni International Standards Organisation. Sasa kama uozo umeanzia huko duniani kwa kupitisha bidhaa za Bakhresa wakati ni 'mbovu'!!!!
Naongelea hivi vya ndani.
Yeah, lakini products za Bakhresa food factory ni 'ISO compliance', maana yake zina hati ya ubora ya Shirika la viwango la kimataifa! Sasa kulaumu TFDA na TBS wakati ISO wame approve ni upuuzi, unless kuna a hidden agenda nyuma ya hizi tuhuma za bidhaa za Bakhresa....
Mwaka wa 11 huu nakunywa maji ya uhai na sijaona ubaya wowote wa maji,nimekunywa maji ya aina tofauti,kuanzia Dasani,Kilimanjaro,Maisha,Cool Blue,Sayona etc sijaona tofauti yeyote labda wanatofautiana harufu ya maji na taste Dasani yana harufu flani hivi na kama Sayona akiongeza supply anaweza kumpiku Uhai maji yake yana kautamu flani hivi.

Kwani kuna ubaya gani maziwa yanapochaganywa na unga wa mahindi? si unakuwa uji? mimi naona abadilishe tu jina la product,badala ya kuita maziwa halisi aite uji wa maziwa (Ikirunguri kirutu cha mata) ambayo ni lishe maarufu kwa wakuria,msimpige ban Bahressa mtawapa ujiko wakenya ambao tunatakiwa kufanya nao ligi.Hahahahahaaaaa Mpwa unga wa mahindi???
Hata azam tv yenyewe ni fake anaweka tu CD studio😀