kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,898
Yeah, lakini products za Bakhresa food factory ni 'ISO compliance', maana yake zina hati ya ubora ya Shirika la viwango la kimataifa! Sasa kulaumu TFDA na TBS wakati ISO wame approve ni upuuzi, unless kuna a hidden agenda nyuma ya hizi tuhuma za bidhaa za Bakhresa....
Angalau wewe umeandika hoja na facts hao wengine naona wanapiga kelele tu bila kutoa facts kama wametumwa