Mazishi ya Mh. Regia Mtema huko Ifakara (updates)

Mazishi ya Mh. Regia Mtema huko Ifakara (updates)

Josephine

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
786
Reaction score
812
Kumekucha, maandalizi ya safari ya mwisho yanaendelea, salamu na ibada vitafanyika katika viwanja vya kiungani.

Watu ni wengi kwelikweli mabasi yanashusha watu kwa wingi sana.

PICHA: Jinsi tulivyopokelewa

attachment.php
attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • Kushusha jeneza.JPG
    Kushusha jeneza.JPG
    60.1 KB · Views: 7,689
  • Kinamama na gari la maiti.JPG
    Kinamama na gari la maiti.JPG
    50.1 KB · Views: 7,521
  • Akilia.JPG
    Akilia.JPG
    48.1 KB · Views: 5,952
Wakuu,
Mliopo Ifakara tunaomba update ya mazishi ya kamanda wetu Regia.
 
Uwanja umefurika watu ni wengi hapa viwanjani,tunasubiri ujio wa Maaskofu na mkuu wa Kaya.

Nitaendelea kuwajuza japo nimebanwa sana na kazi.
Asante first lady.

Tunakufuatilia kwa karibu.

Vipi wanachadema wa Morogoro mjini walikubali msaada wa basi kutoka kwa Aziz Abood?

Misa itaongozwa na Askofu gani (Libena.....maana ndo ameteuliwa kuwa Askofu Mkuu wa jimbo jipya Katoliki la Ifakara, au Mkude ambaye ndo Askofu wa jimbo la Morogoro....au Askofu wa Mahenge?)
 
Imekuwa ni kazi ya usiku kucha, baada ya ratiba nzima ya mazishi kubadilika, awali tulikuwa tutoe salamu zetu za mwisho nyumbani then twende kanisani baadae mazishi.

Lakini baada ya kuona umati mkubwa wa watu, tufanya maamuzi usiku wa saa nane kuwa mambo yote yafanyike kwenye open space, ili kila mtu shiriki vema.

Hivyo imekuwa ni kazi ya usiku kucha kuhamisha mahema viti na mapmbo mpaka mda huu.

Tumemaliza na ratiba itaanza mda si mrefu.
 
Asante kwa updates.... tunafuatilia na pole na majukumu
B Blessed
 
Uwanja umefurika watu ni wengi hapa viwanjani,tunasubiri ujio wa Maaskofu na mkuu wa Kaya.

Nitaendelea kuwajuza japo nimebanwa sana na kazi.
Be blessed our next first lady. Tunakufuatilia kwa makini!
 
Umati huu wa watu toka kila kona nchi unadhihirisha jinsi dada Regia alivyokua kipenzi cha watu!
 
Imekuwa ni kazi ya usiku kucha, baada ya ratiba nzima ya mazishi kubadilika, awali tulikuwa tutoe salamu zetu za mwisho nyumbani then twende kanisani baadae mazishi.

Asante kwa updates. Na poleni sana kwa huduma. Mungu awabariki kwa yote.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pole mama.Mungu akuongoze kutuhabarisha.Picha za mapokezi Ifakara nimeziona mjengwa blog zimenifurahisha sana.Hasa vijana machachari wa CDM waliokuwa wamevaa nguo nyekundu zimeandikwa SECURITY CHADEMA
 
Tunafatia jf, wengine 2meshndwa kuwa pamoja ktk mazishi. Ila naamini makamanda mliopo mme 2wakilisha na mnaendelea ku2wakilisha vema. Viva
 
Asante first lady.

Tunakufuatilia kwa karibu.

Vipi wanachadema wa Morogoro mjini walikubali msaada wa basi kutoka kwa Aziz Abood?

Misa itaongozwa na Askofu gani (Libena.....maana ndo ameteuliwa kuwa Askofu Mkuu wa jimbo jipya Katoliki la Ifakara, au Mkude ambaye ndo Askofu wa jimbo la Morogoro....au Askofu wa Mahenge?)
Watu wa morogoro wamefika, japo siwezi kuuliza habari za usafiri waliotumia kulingana na majukumu,

ibada itaongozwa na Askofu wa jimbo Mhashamu Agabiti Ndorobo.
 
Jamaani nalia mie, nani atatuletetea picha za tukio hili kama Regia?
Nalia kwa mengi, mdogo wangu umeondoka, tulikuwa tunaanza kukuchukulia kama mkongwe,
Anyway, sie ni viumbe, ni waja wa Mola, atakalo huwa.
 
Viongozi mbalimbali wameshaingia hapa, viongozi na wabunge wasiopungua 160 toka vyama mbalimbali wapo hapa wakiwa wamevaa suti nyeusi karibu wote.

Majadiliano ya hapa na pale yanaendelea huku kwenye jukwaa la jeneza kuna bendera ya Taifa na bendera ya chadema zote zikiwa nusu mlingoti.
 
Thanks first lady for updates. Picha tunazihitaji sana
 
Back
Top Bottom