Mazishi ya Kaka wa Lissu

Mazishi ya Kaka wa Lissu

Nashauri ndugu wa marehemu wasimruhusu kiongozi wowote wa chama au serikali ya CCM kuja kwenye mazishi ya ndugu yao! Hawa sio watu kabisa kabisa!
kwamba unaleta ufahari msibani kwa mwanachama wa CCM, right?

uko sawa lakini mentally au au kanyaga twende tu bora liende?šŸ’
 
Hata muwakilishi wa chama na serikali hatakiwi kwenda kwenye huo msiba, kujitia wazimu kwenda huko ni uchokozi kwa mizimu ya watu hao. Ki uungwana wawakilishi wa chama na serikali wasiende kabisa. Hiyo shughuli na ya watu wengine na wanachadema tu, hata chauma hawapaswi kwenda, itaonekana ni unafiki
 
Maziko ya marehemu ni ibada. Kwenye ibada kuwashirikisha mashetani wa CCM na Serikali yake dhalimu, maharamia wanaofahamika, ni kuichafua ibada. Ni vema ndugu wakatangaza wazi kuwa ibada ya maziko itahusisha watuwale tu wanaothamini uhai wa mwanadamu, CCM, serikali haramu yake, na wauaji wote wasishiriki.
 
Yeye ni mwanaccm sasa utaanzaje kuwafukuza wanachama wenzake!

Wewe ni mwongo. Marehemu alisema kuwa yeye alikuwa mwanaCCM wa CCM ile ya hayati Mwalimu Nyerere, siyo hii CCM ya wauaji. Hiyo CCM ya mwalimu Nyerere wengi wetu tulikuwa wanachama wake, lakini hii CCM haramu, kamwe hatuwezi hata kuisogelea.
 
huu ni ushauri tenge!. Pamoja na tofauti zetu kisiasa, Watanzania ni wamoja kwenye shida na raha, na kwenye shughuli za kijamii!, mfano mimi ni CCM, kuna CCM wengi tuu wanatamani Lissu atendewe haki.

P

Hakuna mwanaCCM wa CCM hii haramu anayetaka haki, labda ile CCM ya Nyerere.
 
huu ni ushauri tenge!. Pamoja na tofauti zetu kisiasa, Watanzania ni wamoja kwenye shida na raha, na kwenye shughuli za kijamii!, mfano mimi ni CCM, kuna CCM wengi tuu wanatamani Lissu atendewe haki.

P

Huo "umoja " ni upi kutoka kwa watanzania?

Huna habari umoja uliisha tangu October 29 lilizaliwa taifa jipya lenye mgawanyiko kati ya wauaji na waliouliwa ?

Umoja utakujaje watu waliuwawa, wamebambikwa kesi, wametekwa , wameuwawa na wengine maiti hazijulikani zipo wapi wameishia kuzika viatu, picha na nguo?
 
kwamba unaleta ufahari msibani kwa mwanachama wa CCM, right?

uko sawa lakini mentally au au kanyaga twende tu bora liende?šŸ’

Hivi wewe mwendawazimu una mkataba wa kudumu na uwrndawazimu?
Marehemu alikataa kuwa yeye siyo mwanaCCM wa CCM hii ya maharamia wauaji. Yeye alikuwa mwanaCCM wa CCM ile ya Nyerere. Usiliingize jina la marehemu kwenye hilo kundi la mashetani wa CCM ya sasa.
 
na alidai yupo chadema ipi?

au mihemko ya kinyumbu tu inakusumbua gentleman?

na kifo chake si kimekufurahisha kwakua unafahamika kwa kufurahia wanadamu kufa right?šŸ’
 
huu ni ushauri tenge!. Pamoja na tofauti zetu kisiasa, Watanzania ni wamoja kwenye shida na raha, na kwenye shughuli za kijamii!, mfano mimi ni CCM, kuna CCM wengi tuu wanatamani Lissu atendewe haki.

P
huu ni ushauri tenge!. Pamoja na tofauti zetu kisiasa, Watanzania ni wamoja kwenye shida na raha, na kwenye shughuli za kijamii!, mfano mimi ni CCM, kuna CCM wengi tuu wanatamani Lissu atendewe haki.

P
Kwa mƠzingƬa ya sasa tulipofikƬ kiitikadi na manyanyaso ya wamuzi huu kwa familiaa hiii kwa sasa unaweza kuwa uamuzi wenye manufaa kwake.Na wenye ķwapunguuzia machungu na hasira zidi ya mahasimu na aadui wa familiƠ na chama cha M.kitƬ wa chama kinachoonewa zaidi Tz.
 
Ukumbuke lisu aliagiza wamfikishie salamu za pole wakati wa msiba wa mume wa Samia
 
huu ni ushauri tenge!. Pamoja na tofauti zetu kisiasa, Watanzania ni wamoja kwenye shida na raha, na kwenye shughuli za kijamii!, mfano mimi ni CCM, kuna CCM wengi tuu wanatamani Lissu atendewe haki.

P
Sawa, tushirikiane kwenye shida na Raha.
Hapa tushirikiane la kufa Alute na kufungwa kwa Tundu?
Au tushirikiane lipi hasa unaloona ni shida na Raha hapo.
 
huu ni ushauri tenge!. Pamoja na tofauti zetu kisiasa, Watanzania ni wamoja kwenye shida na raha, na kwenye shughuli za kijamii!, mfano mimi ni CCM, kuna CCM wengi tuu wanatamani Lissu atendewe haki.

P
Hivi Siku Tundu Lissu akiaga Dunia, CCM watahudhuria au watapotezea? Katuga ataenda au atapotezea? Siku Jaji Ndunguru akiondoka kabla ya Lissu, na Lissu akawa huru, je atahudhuria? Ni maswali tu ya kufikilika...
 
Macam hana Akili utayaona yamevalia kijani. Ningekuwa na Mamlaka ningeyaua kimyakimya mambwa haya yanaroho mbayq sana
 
Back
Top Bottom