Kweli,ila huyo mwenye kichupi cheusi namfahamu anaitwa Zubeda sasa sijui ni wa upande ule wapili?maana jina tuu linamtambulisha ni wa upande wetu bwana Ally Kombo
................jina halimaanishi upande, hayo ni mazoea ! cha msingi utawatambua kwa matendo(mila) na imani (ushirikina)
wamakonde wanamuita mbwa "achani" au "achumani" halafu wenye wanajiita "pedeli" au "chupoku" !