Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
Eti hizi ndio nguo za kuvaa msibani, duh!
Si umeona sasa. Apo ukifa ni lazima utakurupuka na kufufuka tena, dooh!Aiseeee!
Eti hizi ndio nguo za kuvaa msibani, duh!
Tena ikibidi utashinda huko huko siku nzima!ni wapi huko na mm nikashiriki mazishi ya namna hii!
Tena ikibidi utashinda huko huko siku nzima!
Si umeona sasa. Apo ukifa ni lazima utakurupuka na kufufuka tena, dooh!
sasa utampinga kivipi?kwa wengine wote ningeweza kutojali lakini huyo mwenye kichupi duh! Hawezi kupita bila kupingwa.
sasa utampinga kivipi?
dunia inabadilikaa. sasa mazishi yanaanza kuchukua taswira ya burudani!hii kali, siamini kama haya yalikuwa ni mazishi heeh!utafikiri wako casino
ha ha ha ha! kibiashara zaidi!!hakuwa ameenda kuzika huyo.
ha ha ha ha! kibiashara zaidi!!
Eti hizi ndio nguo za kuvaa msibani, duh!
Tena ikibidi utashinda huko huko siku nzima!