Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,598
- 1,233
- Thread starter
- #41
kule Ghana kama ulikuwa ni profesa basi jeneza lako linatengenezwa kama kitabu, kama ni mwanamuziki hilo jeneza linachongwa kama gitaa, au kama ni rubani basi jamaa wanakuchongea kama ndege vile n.k!!!aaaaa haya ndo mazishi anayezikwa hapo cjui yy alikuwa anavaaje!!!!