Mazishi mengine bwana, khaa!

Mazishi mengine bwana, khaa!

kwa wengine wote ningeweza kutojali lakini huyo mwenye kichupi duh! Hawezi kupita bila kupingwa.

Na huyu je??

funeralstrippers.jpg
 
Ukienda Casino umevaa hivi watadhani wewe ndo matron! Kule mbona ni zaidi ya zaidi yote,lol!
Kama una roho nyepesi wewe zunguka vibanda umiza tu
hii kali, siamini kama haya yalikuwa ni mazishi heeh!utafikiri wako casino
 
ama kweli marehemu alikuwa mtu wa watu......
 
Mbona siku hizi budget ya msiba ni tshs 10M? Kupanga ni kuchagua, if you can afford it go for it! Kama ndo vile, unakuwa mpole tu!
dunia inabadilikaa. sasa mazishi yanaanza kuchukua taswira ya burudani!
 
Haya mazishi yanamfaa sana Lusinde na nchemba lol........
 
Watakuwa walienda kumzika MWENZAO na hapo wanamuenzi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom