nadhani watatengeneza jeneza kama kitanda cha telemka tukaze!nataka kujua km ulikuwa changudoa jeneza lako linakuwaje?
Na JKilaza & Le Mutuz wazee wa totoz, Boloyangi kubwa la baadui, Babu ch*pi.Haya mazishi yanamfaa sana Lusinde na nchemba lol........
Eti hizi ndio nguo za kuvaa msibani, duh!
![]()
Sasa kama sio bongo si useme tu ni wapi!Hii siyo bongo, duhhh!
halafu lilivyo ***** limebrba na kipochi kabisa mijitu kama hii ni fimbo tu.Kwani huyu MZIKWAJI alikuwa mjasiriamali wa Corner Bar; Tunisia Rd au ?
Na upande mwingine wana uthubutu wa kuoa tutoto twa miaka 6 na kuvua nguo mbele ya tutoto twa miaka 9. Vipi hapo?
Mkuu hujajibu swali la Msingi, nataka shape ya jeneza la gynaecologist, i.e Dkt Bingwa wa wanawake.
Kweli,ila huyo mwenye kichupi cheusi namfahamu anaitwa Zubeda sasa sijui ni wa upande ule wapili?maana jina tuu linamtambulisha ni wa upande wetu bwana Ally Kombo
wale wa upande wa pili ndio wanaruhusu akina mama msibani !
............mkeo unamvulia nguo au unamvalia nguo ? hapo vipi ? tumia akili si masaburi !
kitoto umuite mkeo? ukiulizwa kunani ooh weye huoni tonge nyama! zama hizi utaishia segerea ukose baba!