Ally Kombo JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 11,429 Reaction score 2,653 Sep 9, 2012 #21 Askari Kanzu said: dunia inabadilikaa. sasa mazishi yanaanza kuchukua taswira ya burudani! Click to expand... kama wale wanaoshona sare na maua kede kede na lile gari la vioo !
Askari Kanzu said: dunia inabadilikaa. sasa mazishi yanaanza kuchukua taswira ya burudani! Click to expand... kama wale wanaoshona sare na maua kede kede na lile gari la vioo !
Askari Kanzu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,596 Reaction score 1,236 Sep 9, 2012 Thread starter #22 mwaJ said: Wala hajapendeza. ma....ko yenyewe meusiiii! Click to expand... yale meusi ka mkaa ndo yenyewe ati!
mwaJ said: Wala hajapendeza. ma....ko yenyewe meusiiii! Click to expand... yale meusi ka mkaa ndo yenyewe ati!
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,578 Reaction score 28,701 Sep 9, 2012 #23 udenda wanitoka mie...........
Facilitator JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 2,279 Reaction score 1,772 Sep 9, 2012 #24 mwaJ said: kwa wengine wote ningeweza kutojali lakini huyo mwenye kichupi duh! Hawezi kupita bila kupingwa. Click to expand... Na huyu je??
mwaJ said: kwa wengine wote ningeweza kutojali lakini huyo mwenye kichupi duh! Hawezi kupita bila kupingwa. Click to expand... Na huyu je??
Kanyapini JF-Expert Member Joined Jul 25, 2012 Posts 295 Reaction score 81 Sep 9, 2012 #25 Askari Kanzu said: Eti hizi ndio nguo za kuvaa msibani, duh! Click to expand... Hakuna ushahidi kama hapo ni msibani! Huenda wamekusanyinka kumsuta mtu.
Askari Kanzu said: Eti hizi ndio nguo za kuvaa msibani, duh! Click to expand... Hakuna ushahidi kama hapo ni msibani! Huenda wamekusanyinka kumsuta mtu.
Askari Kanzu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,596 Reaction score 1,236 Sep 9, 2012 Thread starter #26 Kanyapini said: Hakuna ushahidi kama hapo ni msibani! Huenda wamekusanyinka kumsuta mtu. Click to expand... Aisee, kwani msibani huwaga kuna ushahidi gani?
Kanyapini said: Hakuna ushahidi kama hapo ni msibani! Huenda wamekusanyinka kumsuta mtu. Click to expand... Aisee, kwani msibani huwaga kuna ushahidi gani?
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,976 Sep 9, 2012 #27 Ukienda Casino umevaa hivi watadhani wewe ndo matron! Kule mbona ni zaidi ya zaidi yote,lol! Kama una roho nyepesi wewe zunguka vibanda umiza tu Konya said: hii kali, siamini kama haya yalikuwa ni mazishi heeh!utafikiri wako casino Click to expand...
Ukienda Casino umevaa hivi watadhani wewe ndo matron! Kule mbona ni zaidi ya zaidi yote,lol! Kama una roho nyepesi wewe zunguka vibanda umiza tu Konya said: hii kali, siamini kama haya yalikuwa ni mazishi heeh!utafikiri wako casino Click to expand...
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Sep 9, 2012 #28 ama kweli marehemu alikuwa mtu wa watu......
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,976 Sep 9, 2012 #29 Mbona siku hizi budget ya msiba ni tshs 10M? Kupanga ni kuchagua, if you can afford it go for it! Kama ndo vile, unakuwa mpole tu! Askari Kanzu said: dunia inabadilikaa. sasa mazishi yanaanza kuchukua taswira ya burudani! Click to expand...
Mbona siku hizi budget ya msiba ni tshs 10M? Kupanga ni kuchagua, if you can afford it go for it! Kama ndo vile, unakuwa mpole tu! Askari Kanzu said: dunia inabadilikaa. sasa mazishi yanaanza kuchukua taswira ya burudani! Click to expand...
Aggrey86 JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 853 Reaction score 155 Sep 9, 2012 #30 Haya mazishi yanamfaa sana Lusinde na nchemba lol........
Askari Kanzu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,596 Reaction score 1,236 Sep 9, 2012 Thread starter #31 Aggrey86 said: Haya mazishi yanamfaa sana Lisinde na nchemba lol........ Click to expand... Kudaaaadaadekii!
Aggrey86 said: Haya mazishi yanamfaa sana Lisinde na nchemba lol........ Click to expand... Kudaaaadaadekii!
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,546 Sep 9, 2012 #32 Watakuwa walienda kumzika MWENZAO na hapo wanamuenzi!
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,550 Reaction score 21,676 Sep 9, 2012 #33 Zamaulid said: ni wapi huko na mm nikashiriki mazishi ya namna hii! Click to expand... mwenzio akinyolewa...
Zamaulid said: ni wapi huko na mm nikashiriki mazishi ya namna hii! Click to expand... mwenzio akinyolewa...
Kanyapini JF-Expert Member Joined Jul 25, 2012 Posts 295 Reaction score 81 Sep 9, 2012 #34 Askari Kanzu said: Aisee, kwani msibani huwaga kuna ushahidi gani? Click to expand... Kaburi, Jeneza, Makaburi mengine, msalaba, mataji, padri, mchungaji, waombolezaji, maiti n.k. Sijaona hata kimoja.
Askari Kanzu said: Aisee, kwani msibani huwaga kuna ushahidi gani? Click to expand... Kaburi, Jeneza, Makaburi mengine, msalaba, mataji, padri, mchungaji, waombolezaji, maiti n.k. Sijaona hata kimoja.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Sep 9, 2012 #35 Siamini kama ni msibani...
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Sep 9, 2012 #36 Kanyapini said: Hakuna ushahidi kama hapo ni msibani! Huenda wamekusanyinka kumsuta mtu. Click to expand... kweli kabisa.
Kanyapini said: Hakuna ushahidi kama hapo ni msibani! Huenda wamekusanyinka kumsuta mtu. Click to expand... kweli kabisa.
Askari Kanzu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 4,596 Reaction score 1,236 Sep 9, 2012 Thread starter #37 Kanyapini said: Kaburi, Jeneza, Makaburi mengine, msalaba, mataji, padri, mchungaji, waombolezaji, maiti n.k. Sijaona hata kimoja. Click to expand... Hii ni lugha ya tomaso (yule wa kwenye baibo)!
Kanyapini said: Kaburi, Jeneza, Makaburi mengine, msalaba, mataji, padri, mchungaji, waombolezaji, maiti n.k. Sijaona hata kimoja. Click to expand... Hii ni lugha ya tomaso (yule wa kwenye baibo)!
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Sep 9, 2012 #38 Never give up said: mwenzio akinyolewa... Click to expand... kwa mazishi ya staili hii nafufukia makaburini!!!
Never give up said: mwenzio akinyolewa... Click to expand... kwa mazishi ya staili hii nafufukia makaburini!!!
Z zeKilale New Member Joined Sep 6, 2012 Posts 3 Reaction score 0 Sep 9, 2012 #39 aaaaa haya ndo mazishi anayezikwa hapo cjui yy alikuwa anavaaje!!!!
Kaunga JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 12,529 Reaction score 13,501 Sep 9, 2012 #40 mwaJ said: Wala hajapendeza. ma....ko yenyewe meusiiii! Click to expand... Hivi kumbe weusi ni ubaya, l didn't know!
mwaJ said: Wala hajapendeza. ma....ko yenyewe meusiiii! Click to expand... Hivi kumbe weusi ni ubaya, l didn't know!