buche buche puuu
buche buche puu
sheby mwanaprofesa anakuja na uchawi wa dunia, buche buche pu.
Afu mwingine alikuwa anasema. . .
Slowly slowly, please give me 2X
Onyo: mkisoma haya maneno, mnapoteza sehemu zinazowatambulisha kama huyu ni Juma au Asha.
buche buche puuu
buche buche puu
sheby mwanaprofesa anakuja na uchawi wa dunia, buche buche pu.
Afu mwingine alikuwa anasema. . .
Slowly slowly, please give me 2X
Onyo: mkisoma haya maneno, mnapoteza sehemu zinazowatambulisha kama huyu ni Juma au Asha.
...unamaanisha wanatumia ndumba?
buche buche puuu
buche buche puu
sheby mwanaprofesa anakuja na uchawi wa dunia, buche buche pu.
Afu mwingine alikuwa anasema. . .
Slowly slowly, please give me 2x
onyo: Mkisoma haya maneno, mnapoteza sehemu zinazowatambulisha kama huyu ni juma au asha.
Sitasahau siku walivunja saa ya mkononi ya baba yangu, akiwa Mwalimu Mkuu, ORIS ya miaka ya 80, wakaisagasaga kama unga, lakini wakamchagua mwanafunzi mmoja nyuma kabisa ya chumba cha mazingaombwe, wakampa mfuko ambao hauna kitu, wakamwambia akoholee kwenye huo mfuko, na katika kukohoa saa ikamtoka mdomoni ikiwa nzima kabisa.
Kuna ile ilioko hata ma barabarani una kuna jama alitolewa sehemu za siri ali cha chawa mpaka tuka muonea huruma dah huwaga na shndwa kuelewa wot is dat there.
Lakini nilisikia kuwa mtu akiingia na mkaa au ndimu kwenye chumba cha maonyesho wanamsitukia na kumfukuza!
PIa ikumbukwe kuwa walikuwa enzi hizo wakija na sanduku la mbao, ambapo kwa wakati huo lilikuwa likionekana la fasheni ya kawaida tu!