February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,115
- 2,822
asante Wacha namimi nijaribu bahati ...kwa mtazamo waatakuwa wanalipa shingapi?Sema hujayapenda tu, kawahi ubalozi wa mazayuni upo Dar hapo.
Kawahi usiogope, Hamas masharti yao yote yamekubaliwa, sasa hivi hata UsA anaimba nchi mbili zinajitawala zenyewed.
Kawahi fursa, likibumburuka tena wakakufyeka, wajomba zako ushawatumia za kutosha kutamba kwa muda.