Mazayuni walivyouliwa kwa wingi sasa wanachukuwa askari wa Kukodi kutokea Malawi

Sema hujayapenda tu, kawahi ubalozi wa mazayuni upo Dar hapo.

Kawahi usiogope, Hamas masharti yao yote yamekubaliwa, sasa hivi hata UsA anaimba nchi mbili zinajitawala zenyewed.

Kawahi fursa, likibumburuka tena wakakufyeka, wajomba zako ushawatumia za kutosha kutamba kwa muda.
asante Wacha namimi nijaribu bahati ...kwa mtazamo waatakuwa wanalipa shingapi?
 
Mapya haya sasa, Mazayunni wameanza kuchukuwa askari wa kukodiwa Malawi, wanajuwa dhiki zetu Afrika na pesa wanayotowa zitatufanya twebde tu, Dah, hali inatisha:

Video clip inapanda taratibu.
View attachment 2826830
View attachment 2826807

Tena watakufa kama utitiri wayahudi weusi wa malawi, nadhani hawaijui hamas hawa!


Palestine will be free in shaa Allah
 
Bibi acha uchochezi,kwahiyo saizi hamasi wameshinda na kuwafurusha majeshi ya taifa teule watoke kutoka Gaza?

Mpaka sasa palestine imeshinda vita
Screenshot_20231127-115944_Instagram.jpg
Hii taarifa ni 3days ago
 
Mapya haya sasa, Mazayunni wameanza kuchukuwa askari wa kukodiwa Malawi, wanajuwa dhiki zetu Afrika na pesa wanayotowa zitatufanya twebde tu, Dah, hali inatisha:

Video clip inapanda taratibu.
View attachment 2826830
View attachment 2826807
Bi mkubwa mbona ubalozi anasema wanaenda kuongeza nguvu ktk sector ya Elimu? Je hiyo ya kusema wanaenda vita kaona wapi huyu mtoa onyooo... Au ndio propaganda a?
 
Chikwera alikuwa mchungaji wa Kilokole. Naona analeta ulokole wake wa kudhani Israel ni Taifa teule kupeleka waafrika wakafe kwenye vita isiyowahusu!.

Wewe jiulize Tangu lini Israel ikawa rafiki na waafrika wakati ina zero immigration policy kwa mtu asiye myahudi?
 
Sector ya elimu!?..yaani nani anamuongezea nguvu nani!?
Hapana, Israel wanachukua nguvu kazi kwa miaka 5, lakini wakiwa huko wafunzwa ujuzi ili wakirudi Makawao wafanye kilimo cha kitaalmu kama Israel... Ila wakati wakiwa huko wanalipa huku wakijifunza... Ni kama exchange program fulani
 
Unakijua kiingereza? Omba mtu akutafsirie

Tatizo lako umekuja kurukia comments za watu wakati uzi ushasogea...

Hapo awali FF aliweka video clip, inayoonesha watu weusi "Wamalawi" wakishuka kwenye shuttle na kuelekea kupanda ndege, ambapo baadaye kidogo kukawa na babu wa kiyahudi akiwashukuru hao watu na kuwaeleza hao watu namna watavyoenda kujifunza, kufanya kazi na hatimaye baada ya miaka 4 au 5(nimesahau alitaja 4 au 5) watarudi kuisaidia Malawi

Tazama hata kwenye nukuu yake hapa chini kataja video itapandishwa punde, lakini kwa sasa kuna audio clip na ile video imetolewa...

Mapya haya sasa, Mazayunni wameanza kuchukuwa askari wa kukodiwa Malawi, wanajuwa dhiki zetu Afrika na pesa wanayotowa zitatufanya twebde tu, Dah, hali inatisha:

Video clip inapanda taratibu.
 
Back
Top Bottom