Muju4
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 5,343
- 7,200
Biblia inasema amebarikiwa kuliko wanawake wote na Yesu mzawa wa tumbo lake amebarikiwa.Huwezi kuwa Muislam kama unampinga Yesu.
Unaonesha huufahamu Uislam.
Kwa kukujuza t7 mama'ke Yesu katajwa kwenye Qur'an kuwa ni mwanamke bora katika wanawake wa ulimwengu, hata biblia haijampa sifa hiyo.
Unalielewa hilo?