wewe mashine za EFD? unazijua au umeamka na viroba kichwani??
omba elimu isiedelee kukupita pembeni jombaYaani ukienda kukata tketi mfano una gari ukiingia pale unagawiwa kitiketi mkononi kisichotoka kwenye mashine ya EFD.Kodi ya Tra kwa kila tiketi isipotoka kwenye mashine si sawa.
Ferry pia na wao hawatumii tiketi za EFD wanakugawia tiketi kama wanakupa kondomu.Tiketi zao hazitoki kwenye mashine za EFD.
Mamilioni ya watu wanaingia uwanja wa sabasaba .Ukienda kukata tikiti ya gari au kuingia haitoki kwenye mashine za EFD.Naona kama kuna maujanja ujanja.Kwa nini hawatumii mashine za EFD?
Khaaaaaa kuwa mzalendoHuenda ndio maana JPM hawataki kwenye mfumo wa ukusanyaji kodi. Karibu wataalamu wa IT kutoka Kigali.
Ndugu sio kwamba nalifurahia jambo hili, tatizo ni kwamba wataalamu wetu kwa kushirikiana na baadhi watumishi wa umma wanaendekeza sana matumbo yao, nenda Rwanda uone wanavyokusanya kodi kwa uwazi na uaminifu alafu uje ulinganishe na huku kwetu.Khaaaaaa kuwa mzalendo
Na wewe unalalamika humu??? Nlidhani upo jikoni na ungeweza Ku report huko!!?Mamilioni ya watu wanaingia uwanja wa sabasaba .Ukienda kukata tikiti ya gari au kuingia haitoki kwenye mashine za EFD.Naona kama kuna maujanja ujanja.Kwa nini hawatumii mashine za EFD?