aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,630
- 3,577
Kuna vyanzo vingi vya mapato ambvyo mnajifanya hamvioni
1. Tiketi za mabasi kule hamna basi hata moja linalotoa tiketi ya EFD kwa wastani Tz watu 100k wanasafiri hapo ukizidisha kwa VAT kwa kila nauli na kwa siku 30 nadhani mtaona bei gani inapotea.
2. Uuzaji wa magari binafsi
Kila siku watu wanaziana magari bila tra kupata kitu zaidi ya ile pesa ya kubadil kadi ya gari ambayo n ndogo sana wangeweka utaratibu mzuri hapo kuwa atleast kubadil jina la mtu wa gari iwe kwenye laki 5 ili kufidia na VAT ya mauziano.