Maximo, Coutinho out Yanga, Pluijm na Tambwe ndani

Maximo, Coutinho out Yanga, Pluijm na Tambwe ndani

Naomba kusema wazi though najuwa uwazi huu utakuwa shida kwa wengine. Samahanini sana inabidi tu niseme... kwanza nadiklea mi mwana Yanga.... KINACHOUWA TIMU ZA SIMBA NA YANGA NI UWEPO WA WALE WAZEE WA KIISLAMU KWENYE TIMU NA KUPEWA KWAO MADARAKA MAKUBWA JUU YA TIMU... SHULE ZAO HAZIRUHUSU WANACHOTUMIA NI UWEPO WAO KWENYE TIMU HUSIKA MUDA MREFU TU...
Seriuosly?
 
Haya ni ya kawaida sana kwa hizi klabu kongwe...
 
sijawahi ona uongozi wa kipumbavu kama huu wa yanga unayumbishwa na mishabiki isiojua mpira katika uongozi mzuri wa yanga ni wa Imani madega tu
 
Mechi ya marudiano ya ligi, huyo Pluijm lazma naye atimuliwe.
 
Kwa mashabiki wa YANGA,
Hizi taarifa ni dhahili ingawa kuna mvutano mkubwa ukiendelea kikaoni kwa sasa.
Na tayari kocha wa zamani wa yanga Pluijm ameshatua Dar kwa ajiri ya kumalizana na Yanga endapo watafikia makubaliano.
Pia kuna taarifa kwamba kuna viongozi wa yanga ambao hawamtaki Maximo na waliitumia nafasi ya juzi mtani jembe ili kumfukuza Maximo kwani waliwashinikiza wachezaji wacheze chini ya kiwango.
Kuhusu Tambwe inasemekana wamefikia pazuri na pengine mpaka saa6 usiku mambo yote yakawa wazi.
Ntaendelea kuwapenyezea nyepesi nyepesi mpaka saa6 usiku.

= dhahiri
= ajili
 
Amiss Tambwe amesaini Yanga mkataba wa
miaka miwili...Marcio Maximo ametimuliwa
hivi ni nani hasa huwa anapendekeza mchezaji fulani asajiliwe?kama Maximo ametimuliwa ni nani hasa aliyempendekeza huyu tambwe....kwanini yanga wanasajili wachezaji toka simbaaaaa,pyuuuu
 
Maximo alishawahi kusema mpira si sawa ni kupika wali kwamba dakika 30 utakuwa umeiva. Yanga walipaswa kumpa muda Maximo, mechi yenyewe ya Bonanza mnafukuza kocha vipi? Naamini mkataba utakuwa unamlinda Maximo kwa kiasi kikubwa, acha avute hela zake akaendelee na maisha yake Brazil.
 
hivi ni nani hasa huwa anapendekeza mchezaji fulani asajiliwe?kama Maximo ametimuliwa ni nani hasa aliyempendekeza huyu tambwe....kwanini yanga wanasajili wachezaji toka simbaaaaa,pyuuuu

Tambwe kapigwa zengwe Simba baada ya Okwi kuingia pale. Huyu atatufaa kuliko hao Wabrazil watalii.
 
Naomba kusema wazi though najuwa uwazi huu utakuwa shida kwa wengine. Samahanini sana inabidi tu niseme... kwanza nadiklea mi mwana Yanga.... KINACHOUWA TIMU ZA SIMBA NA YANGA NI UWEPO WA WALE WAZEE WA KIISLAMU KWENYE TIMU NA KUPEWA KWAO MADARAKA MAKUBWA JUU YA TIMU... SHULE ZAO HAZIRUHUSU WANACHOTUMIA NI UWEPO WAO KWENYE TIMU HUSIKA MUDA MREFU TU...

Yaani mijitu mingine ina ile kitu iliitwa majnuni!! Sijui ikoje!! Kila mnachowaza ni udini tu!!
 
sasa kama yanga wanamrejesha tena huyo mzungu wanatuambia kweli awali waliachana nae kwa kukurupuka..halafu hii kasumba ya kuthamini vya.nje tu cjui itatuisha ln kwanini hatutumii walimu wazawa na ama.kuwasomesha? yanga na.mpango wa kumsomesha sekilojo chambua umefia wapi? mahela tunayowalipa wageni hawa yanatosha kabisa kusomesha/kutengeneza walimu wetu
 
Mechi ya marudiano ya ligi, huyo Pluijm lazma naye atimuliwe.

Hiyo itamwondoa Phiri maana naye kaokolewa na Ruvu Shooting. Ngoja ligi ianze na hao Waganda wenu mtakiona cha moto. Mganda mmoja mmemsajili alikuwa chakula cha Mubiru. Kwa taarifa zaidi google 'Smoked, FUFA boss sodomizes Crane's player'.
 
Amiss Tambwe amesaini Yanga mkataba wa
miaka miwili...Marcio Maximo ametimuliwa
Hamisi Kiiza yuko FOODWORD USIKU HUU AKISAINI SIMBA MIAKA MIWILI

NAONA WAMEAMUA KUINUNUA TIMU YA TAIFA YA UGANDA
 
Yanga kama wanataka mambo yawe sawa wafukuze wachezaji wote wenye damu ya simba kama msuva yondan hawa fai kabisa ndo tatizo hata mechi ya juzi alie kuwa makin ali gunduwa k2
 
Back
Top Bottom