Maximo, Coutinho out Yanga, Pluijm na Tambwe ndani

Maximo, Coutinho out Yanga, Pluijm na Tambwe ndani

Maximo alishawahi kusema mpira si sawa ni kupika wali kwamba dakika 30 utakuwa umeiva. Yanga walipaswa kumpa muda Maximo, mechi yenyewe ya Bonanza mnafukuza kocha vipi? Naamini mkataba utakuwa unamlinda Maximo kwa kiasi kikubwa, acha avute hela zake akaendelee na maisha yake Brazil.
Muda anatafuta sperm za watoto aka??
 
Kwa mashabiki wa YANGA,
Hizi taarifa ni dhahili ingawa kuna mvutano mkubwa ukiendelea kikaoni kwa sasa.
Na tayari kocha wa zamani wa yanga Pluijm ameshatua Dar kwa ajiri ya kumalizana na Yanga endapo watafikia makubaliano.
Pia kuna taarifa kwamba kuna viongozi wa yanga ambao hawamtaki Maximo na waliitumia nafasi ya juzi mtani jembe ili kumfukuza Maximo kwani waliwashinikiza wachezaji wacheze chini ya kiwango.
Kuhusu Tambwe inasemekana wamefikia pazuri na pengine mpaka saa6 usiku mambo yote yakawa wazi.
Ntaendelea kuwapenyezea nyepesi nyepesi mpaka saa6 usiku.
Weekend hii ilikua burudani, huku ukawa kule simba!
 
sasa kama yanga wanamrejesha tena huyo mzungu wanatuambia kweli awali waliachana nae kwa kukurupuka..halafu hii kasumba ya kuthamini vya.nje tu cjui itatuisha ln kwanini hatutumii walimu wazawa na ama.kuwasomesha? yanga na.mpango wa kumsomesha sekilojo chambua umefia wapi? mahela tunayowalipa wageni hawa yanatosha kabisa kusomesha/kutengeneza walimu wetu

Huyu hakufukuzwa aliomba kuondoka, alipewa kadi ya uanachama na kufanyiwa sherehe kubwa jambo ambalo halijawahi tokea kwa kocha yeyote wa Yanga hata kwa mzawa Minziro. Babu karudi nyumbani, sasa ni zamu ya Phiri kuondoka.
 
Hiyo itamwondoa Phiri maana naye kaokolewa na Ruvu Shooting. Ngoja ligi ianze na hao Waganda wenu mtakiona cha moto. Mganda mmoja mmemsajili alikuwa chakula cha Mubiru. Kwa taarifa zaidi google 'Smoked, FUFA boss sodomizes Crane's player'.

really?
 
Nataman yanga na simba zife.. Tuanze upya

Mkuu kama ulikuwepo. Nimewahi kuanzisha uzi kama huo kwamba nini unatamani kife hapa tz. Binafsi nilisema Yanga, Simba na CCM uzi haukuchukua hata dakika 5 mods wakaondoa. Nisubiri tena nione kwa hii coment.
 
Yanga kama wanataka mambo yawe sawa wafukuze wachezaji wote wenye damu ya simba kama msuva yondan hawa fai kabisa ndo tatizo hata mechi ya juzi alie kuwa makin ali gunduwa k2

Wewe ndio walewale ambao huwezi leta maendeleo ya mpira hata kidogo. Wachezaji wapo kwenye ajira ndio inawafanya waendeshe maisha yao. Akizidiwa isiwe sababu ya kusema eti anadamu ya timu pinzani.
Poor point
 
Yanga hawajacheza chini ya kiwango walikutana na watu wa viwango

Ushindi una raha yake. Sema chochote wakati huu maana ni heri ya kununa leo ili kesho ucheke kuliko kucheka leo ili kesho unune.
 
Back
Top Bottom