Maximo, Coutinho out Yanga, Pluijm na Tambwe ndani

Kwa mashabiki wa YANGA,
Hizi taarifa ni dhahili ingawa kuna mvutano mkubwa ukiendelea kikaoni kwa sasa.
Na tayari kocha wa zamani wa yanga Pluijm ameshatua Dar kwa ajiri ya kumalizana na Yanga endapo watafikia makubaliano.
Pia kuna taarifa kwamba kuna viongozi wa yanga ambao hawamtaki Maximo na waliitumia nafasi ya juzi mtani jembe ili kumfukuza Maximo kwani waliwashinikiza wachezaji wacheze chini ya kiwango.
Kuhusu Tambwe inasemekana wamefikia pazuri na pengine mpaka saa6 usiku mambo yote yakawa wazi.
Ntaendelea kuwapenyezea nyepesi nyepesi mpaka saa6 usiku.
Ha ha haaa......Wanahangaika
Sahivi wanaona bora wale matapishi. Mtakuja kushuka daraja..... Mark my words
 
Kwa mashabiki wa YANGA,
Hizi taarifa ni dhahili ingawa kuna mvutano mkubwa ukiendelea kikaoni kwa sasa.
Na tayari kocha wa zamani wa yanga Pluijm ameshatua Dar kwa ajiri ya kumalizana na Yanga endapo watafikia makubaliano.
Pia kuna taarifa kwamba kuna viongozi wa yanga ambao hawamtaki Maximo na waliitumia nafasi ya juzi mtani jembe ili kumfukuza Maximo kwani waliwashinikiza wachezaji wacheze chini ya kiwango.
Kuhusu Tambwe inasemekana wamefikia pazuri na pengine mpaka saa6 usiku mambo yote yakawa wazi.
Ntaendelea kuwapenyezea nyepesi nyepesi mpaka saa6 usiku.

Hapo kwenye KUCHEZA CHINI YA KIWANGO, ndo panatia mashaka, mimi ninavyojua kiwango kimepanda baada ya kupunguza idadi ya mabao toka 5 hadi 2. Maximo kanyanyua kiwango na wala si wa kubeza.

Cc. tamsana
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha
 
Attachments

  • 1418678189268.jpg
    1418678189268.jpg
    47 KB · Views: 422
  • 1418678219936.jpg
    1418678219936.jpg
    12.2 KB · Views: 689
ndio maana hatufiki mbali....

arsene wenger angetimuliwa kitambo sana
 
Na bado tutawachagulia makocha kwa kadri tunavyoamua kila msimu.Mtafukuza na ku recycle lakini fimbo ipo pale pale.
 
Kwa mashabiki wa YANGA,
Hizi taarifa ni dhahili ingawa kuna mvutano mkubwa ukiendelea kikaoni kwa sasa.
Na tayari kocha wa zamani wa yanga Pluijm ameshatua Dar kwa ajiri ya kumalizana na Yanga endapo watafikia makubaliano.
Pia kuna taarifa kwamba kuna viongozi wa yanga ambao hawamtaki Maximo na waliitumia nafasi ya juzi mtani jembe ili kumfukuza Maximo kwani waliwashinikiza wachezaji wacheze chini ya kiwango.
Kuhusu Tambwe inasemekana wamefikia pazuri na pengine mpaka saa6 usiku mambo yote yakawa wazi.
Ntaendelea kuwapenyezea nyepesi nyepesi mpaka saa6 usiku.
................................................................................................
updates.:AMISI TAMBWE ASAINI MWAKA1 YANGA USIKU HUU ILI KUWAHI DIRISHA DOGO KABLA HALIJAFUNGWA.

................................................................................................
Updates:ITC yasitisha mkataba wa Emerson jangwani,TAMBWE achukua nafasi yake.
hapo kwenye red naomba ukanushe haraka sana
 
Namtakia kila heri Tambwe, ukweli roho iliniuma sana kuachwa kwa sababu tu ya ntimanyongo...............
 
Pamoja sana Mkuu. Huyu ndiye 'Okwi' kwenu, nanyi mmepata mtu wa kuwakamia. Eti wengine wanatucheka kufumua benchi la ufundi wakati mwaka jana Simba mlifumua vya kutosha tu. Matani mengine bwana!
 
sijutii kuchagua kushangilia Azam Fc!!

Hawa kulwa na Dotto wa kariakoo ni janga la dunia hii.

Utakuwa labda mgeni kwenye soka la bongo, kama si mgeni, utake usitake eidha Simba au Yanga imechomelewa kwenye damu yako. Acha kudanganya watu. Azam haina mashabiki, ina watu wanayoipenda.
 
Back
Top Bottom