Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

Status
Not open for further replies.
Sikutaka kuandika hapa kwa maumivu makali niliyonayo juu ya huyu mtu aliyejitolea uhai wake na kukubali kunyanyasa mwili, akili na fikra zake , huyu jamaa aliyekubali kudhalikishwa kwa kutetea tu kile anachokiamini kufanyiwa haya. Hata aliposema anafuatiliwa na watu fulani watu walichukulia kawaida tu , kwahakika Mungu akiwa upande wako hakuna wa kukushinda. Watakuja kwa njia moja na Mungu atawatawanya kwa njia saba. Mateso ya Mwenye haki nayo ni mengi lakini Mungu humuokoa na hayo yote. Get well soon kamanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom