EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,265
- 20,867
Wewe amekuboreshea au unabwabwaja tuSasa badala ya kukutana na JPM anakwenda kumwambia Director wa IMF?Max ulitakiwa ukamwambie Magufuli bwana,au unamwogopa ? Huyu Kristina hatosaidia lolote. Mwenye rungu la kuboresha mazingira ya wafanya biashara hapa Tanzania ni JPM.