😆😆😆😆Hapana..nadhan ni pose la heshima tu..ulitaka aweke midole km wasanii wa hiphop na limkono limoja kati ya zip ya salawili?
Mawazo yakoSasa badala ya kukutana na JPM anakwenda kumwambia Director wa IMF?Max ulitakiwa ukamwambie Magufuli bwana,au unamwogopa ? Huyu Kristina hatosaidia lolote. Mwenye rungu la kuboresha mazingira ya wafanya biashara hapa Tanzania ni JPM.
Ni shetani pekee apendaye anguko la wengine na usimfananishe na Laisi wetu mpendwa.Magufuli hafurahishwi na taarifa Kama hizi, anafurahia kuona watu wakishindwa na kuanguka na kuaibika
Aiseee; amefikaje huko? Ni JF au kuna chombo kingine?
Heko na Hongera nyingi. Natumaini ombi litafanikiwa.
Lakini ngoja nikutupie dongo laini.
Hiyo picha ya kwanza umejinyenyekesha sana mkuu! Au ni kabla ya kuwasilisha mahitaji kwa mkubwa?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hongeraa sana mkuu.. Usiingize tu JF kwenye madeni kama serikali ya Kenya
JPM hafurahishwi na Wasaliti Wanaotumia ma Mabeberu kuvuruga Nchi yetu.Magufuli hafurahishwi na taarifa Kama hizi, anafurahia kuona watu wakishindwa na kuanguka na kuaibika
Magufuli kabla ya kumsaidia atamuomba atoe siri za watu wenye id hapa JF. Au msukuma mwenzako unamuonaje?Sasa badala ya kukutana na JPM anakwenda kumwambia Director wa IMF?Max ulitakiwa ukamwambie Magufuli bwana,au unamwogopa ? Huyu Kristina hatosaidia lolote. Mwenye rungu la kuboresha mazingira ya wafanya biashara hapa Tanzania ni JPM.
Karibu sana mkuuHata mimi najiona nimefika USA kupitia JF