Mbona unawaza hivyo, au unataka kujua labda alipataje kibali cha kusafiri nje ya nchi!Mbali na yote mliyo yazungumza nikupongeze tu kwa kukutana na kiongozi mkuu wa IMF, ni hatua kubwa sana lakini lazima utumie nafasi hiyo kuilinda nchi yako badala ya vishawi vya kuidumbukiza shimoni.
Kwa mbinde .Hongera zake. Vipi, alipata kibali cha kusafiri nje ya nchi!
Naitaman Sana kufika Hawaii mkuu, nipe mchongo nafikajeMax karibu Hawaii
Una uhakika JPM hajaonana nae?Sasa badala ya kukutana na JPM anakwenda kumwambia Director wa IMF?Max ulitakiwa ukamwambie Magufuli bwana,au unamwogopa ? Huyu Kristina hatosaidia lolote. Mwenye rungu la kuboresha mazingira ya wafanya biashara hapa Tanzania ni JPM.
Mwenye nchi anakutana na wauza mapapai barabaran na vijana wenye akili wanakutana na wenye DUNIA
Hivi marekani kuna mitumba?uje na mitumba
kwahiyo huyu wa hapahapa ni mpaka aambiwe ndio aboreshe?Ni jukumu lake haina haja ya kumwambia.Sasa badala ya kukutana na JPM anakwenda kumwambia Director wa IMF?Max ulitakiwa ukamwambie Magufuli bwana,au unamwogopa ? Huyu Kristina hatosaidia lolote. Mwenye rungu la kuboresha mazingira ya wafanya biashara hapa Tanzania ni JPM.
JPM kaisaidia nini Tz kwa miaka yake minne?Sasa badala ya kukutana na JPM anakwenda kumwambia Director wa IMF?Max ulitakiwa ukamwambie Magufuli bwana,au unamwogopa ? Huyu Kristina hatosaidia lolote. Mwenye rungu la kuboresha mazingira ya wafanya biashara hapa Tanzania ni JPM.
umeniwahiNamuona Mbuzi katika huu uzi nikifungua simpati


sijui kakata kamba wapi?Ndo inatakiwa kukutana nae huyo,kumpa mawazo kuhusu kufanya mazingira ya biashara yawe bora.JPM kaisaidia nini Tz kwa miaka yake minne?
Hili nalo Swali?Aonane na JPM halafu asitupie picha humu?Una uhakika JPM hajaonana nae?