Maxence Melo atinga ofisi za IMF Washington DC

Kwa hiyo amekwenda kukutana na mabeberu eeeh! Ndio maana JF inaongoza kuwa chombo cha ukosoaji wa serikali ya awamu ya tano.
Akirudi Tz atapaswa kakamatwa na kuhojiwa. CCM oyeeee!

Alisikika kiongozi mmoja wa juu wa serikali akisema hayo.
 
Hizi ni juhud za awamu ya 5,hongera kwa serikali yetu[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Mkuu Maxence Melo natumai umetumia furasa hiyo kutongoza ufadhili ya IMF kwenye program kwa vijana kwenye eneo la IT .
 
Huyu ndo anatufanya tuendelee kuwa hai kifikra vinginevyo wote tungeshageuka misukule kama wale.
 

Ongera sana.
Hivi hile kesi yake imefikia wapi? Nauliza tu maana hii serikali ikiona hivyo, basi anawezafunguliwa kesi nyingine ya kuhujumu uchumi. Pia likitokea la kutokea kati ya IMF na serikali, basi utasikia Melo ndiye aliyepeleka hizo taarifa huko.
 
MECCO na BASHITE lazma waumie roho sanaa,.
Kwanza lugha kwao ni shida hata wakienda huko utaskia ze ze ze nyiingi tu, alafu zaidi ya stigla, chato airport na bomberdier Mekko hana jipya na kuongea na huyu Beberu
 
Tulifanya namna kilingeni.. Japo nzi wa rangi fulani walitusumbua sana kutukwamisha
Aiseee; amefikaje huko? Ni JF au kuna chombo kingine?

Heko na Hongera nyingi. Natumaini ombi litafanikiwa.

Lakini ngoja nikutupie dongo laini.
Hiyo picha ya kwanza umejinyenyekesha sana mkuu! Au ni kabla ya kuwasilisha mahitaji kwa mkubwa?
 
Wale wenzetu hawatopenda kabisa picha hizi na expose kama hiyo. Hongera Sana Max.

Tunahitaji watu wenye presentation Kama hiyo. Misaada utaweza kuzidi kwenye youth startups businesses.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…