Mawio newspaper permanently banned with effect from January 15th, 2016

Mawio newspaper permanently banned with effect from January 15th, 2016

vp mbona star tv ili wachochea sana watanzania kipindi cha kampeni na hawajafungiwa.?
au mh.Nepi halioni hilo..?
Iliwachocheaje?
Unajua Tunaongelea kuchochea nn?
Au ndo elimu za hapa na pale?
 
Yaan ni uzembe mwingine juz serekali imeshindwa kesi mahakaman na gazeti la mwanahalisi ,serekali inadaiwa mamililio leo tena mawio limefungwa badae utashangaa tena serekali imeshindwa kesi wanadaiwa mamilion....Nape tuonee huruma na kod zetu

Hili jambo linapaswa kukemewa kwani huenda kuna njama za kufungia chombo cha habari kisha inapangwa mpango wa kufungua kesi ili wakishinda wagawane pesa.

Inabidi tuchunguze lazima kuna maslahi binafsi hapa.

Nchi ya Uganda walipitisha sheria kuwa "Mtumishi yeyote wa serikali atakayesababisha kesi ambayo itatoa ushindi kwa mshitaki hivyo kuifanya serikali kulipa pesa. Atalipa mtumishi aliyesababisha na siyo serikali"

Hivyo kuna umuhimu na Tanzania tukaliangalia hili. Ni pesa ya walipa kodi.
 
Weka mfano wa hizo Checks and balance zilizokiukwa.
Amelazimisha bunge kufanya tafrija kama anavyotaka yeye (pengine hata kwa nia nzuri) kinyume na kanuni za checks and balance zinazokataza executive kuingilia bunge.

Ameapisha watu kuwa mawaziri kabla hawajaapishwa kuwa wabunge.
 
Hili jambo linapaswa kukemewa kwani huenda kuna njama za kufungia chombo cha habari kisha inapangwa mpango wa kufungua kesi ili wakishinda wagawane pesa.

Inabidi tuchunguze lazima kuna maslahi binafsi hapa.

Nchi ya Uganda walipitisha sheria kuwa "Mtumishi yeyote wa serikali atakayesababisha kesi ambayo itatoa ushindi kwa mshitaki hivyo kuifanya serikali kulipa pesa. Atalipa mtumishi aliyesababisha na siyo serikali"

Hivyo kuna umuhimu na Tanzania tukaliangalia hili. Ni pesa ya walipa kodi.
Hapo sawaa kabisa....
 
Amelazimisha bunge kufanya tarfija kama anavyotaka yeye (pengine hata kwa nia nzuri) kinyume na kanuni za checks and balance zinazokataza executive kuingilia bunge.

Ameapisha watu kuwa mawaziri kabla hawajaapishwa kuwa wabunge.
Hiyo tafrija ni official na kuwa ipo kisheria au kwenye kanuni za bune au huwa ni interests zao wabunge kupongezana????????Na je fedha zilikuwa zimejadiliwa official na bunge Magufuli akazibadilishia matumizi??????????Na kwanini wabunge walitaka kupongezana wao siku moja ambayo pia rais alikuwepo???????????????
 
Tafrija ni official ipo kila bunge linapofunguliwa.

Fedha zimechangwa na watu kibao, wakiwamo watu binafsi ambao hata hawapo katika serikali, Magufuli hakuwa na uwezo wa kuziingilia bila angalau muafaka na Spika.

Siku ya kupongezana kama rais yupo au hayupo is immaterial, what is material ni kwamba kawaingilia kibabe against checks and balance.
 
Yaan ni uzembe mwingine juz serekali imeshindwa kesi mahakaman na gazeti la mwanahalisi ,serekali inadaiwa mamililio leo tena mawio limefungwa badae utashangaa tena serekali imeshindwa kesi wanadaiwa mamilion....Nape tuonee huruma na kod zetu

Nae eti anatumbua Jibu!
Mwanahalisi lipo anajisumbua tu
 
Si amini katika kuzima midomo ya wadau...jirani mropokaji wakati mwingine ni chachu ya mabadiliko katika nyumba nyingine ya jirani. Tukianza kufungiana 'milele' wakati sisi si wa 'milele' tunaenda mbali. Wapewe adhabu, wafungiwe, lakini kuwafuta ni kwenda mbali zaidi na sidhani kama itakuwa na tija sana kwa nchi yetu. Busara itumike, mambo ya ukandamizaji kwa kuwa eti nimeapa kulinda sheria hata kama mbaya...naona hii ni lack of prudence. Kwa nini usichukue hatua za kubadili sheria unayoona mwenyewe ni mbaya? Mawio limetutangulia kabarini na mengine yatafuata si ajabu ikiwemo na jukwaa hili la JF. Get ready!
 
mantiki ya kufungia vyombo vya habari si utawala bora ,na kwa kuwa kufungia vyombo vya habari huigharimu serikali kwa namna moja au nyingine ni vyema kukawa na njia mbadala ya kupambana na magazeti hayo ,mantiki ya utawala bora ni kujenga mazingira rafiki yasiokiuka misingi ya utawala bora .
 
Yaan ni uzembe mwingine juz serekali imeshindwa kesi mahakaman na gazeti la mwanahalisi ,serekali inadaiwa mamililio leo tena mawio limefungwa badae utashangaa tena serekali imeshindwa kesi wanadaiwa mamilion....Nape tuonee huruma na kod zetu
usitegemee serikali kushindwa kesi kila siku. majipu yanatumbuliwa pia kwa wanasheria wa serikali wanaouza kesi. mafisadi na wapinzani wanaotegemea kununua haki watatumbuliwa moja baada ya meingine.
 
Nampongeza kwa dhati Waziri NAPE NNAUYE kwa kupambana na uandishi usio na adabu wala Uzalendo kwa Nchi na Viongozi wake. Kwa muda mrefu sana baadhi ya Magazeti yamekuwa yakiandika habari za kipuuzi bila kuzingatia weledi na taaluma ya uandishi wa Habari. Mkakati wa magazeti mengi sasa ni kuuza tu bila kujali athari ya habari hizo kwa Jamii. HAKUNA UHURU USIO NA MIPAKA.
 
Na ya udaku je? Yanazingatia maadili adabu na uzalendo?
 
Back
Top Bottom