jamani wadada na JF tukubali kuwa sometimes sisi waolewaji ndo huwa tunakuwa na matatizo, mambo ya kwenda umejiandaa kuidhibiti familia ya mume. unajua sio familia zote ambazo ni ngumu kuishi nazo ila kwa vile tunatoka kwetu tukiwa tumejiandaa jinzi ya kuwadibiti mama mkwe na mawifi ndo inakuwa balaa. wakati mwingine wifi au mama mkwe anaweza akakosea kitu kidogo, kibinadamu, ambapo hata mama au mdogo wako anaweza akafanya kitu kama hicho lakini sababu kafanya wifi/mama mkwe inakuwa balaa.
tujitahidi na sisi kuchukulia familia za waume zetu kama familia zetu, labda haya mzogo yatapungua
Nyamayao kama wanawake wote wangekuwa na ujasiri huu matatizo ya mawifi na wakwe yangepungua sana, tatizo wengine hawapendi halafu eti hawasemi wanayaweka tu moyoni huku ndoa zao zinaingia migogoro...
unajiandaaje sasa? kama mie mama mkwe/wifi nilikuwa naelewa nao mwanzoni, baadae wakanibadilikia, kwanini na mie nicbadilike?...halafu hawa watu hawafanyagi ishu za kikawada ambazo hata mamangu anaweza kufanya, mamangu hawezi kufanya kitu cha kuniumiza roho hata kidogo lakini hawa watu malengo yao yote ni kuumiza tu...
Jamani maswala ya ndoa yanachanganya sana navyo wasoma hapa kama vile nisioe vile niwe namega tu maana yanachanganya haswa mala hiki mala unapendelea kule kha!
Chrispin said:Lol! Jifagilie mamii. Hivi MJ1 yupo? Hapa lazima tungetungiwa na kashairi. Si unakumbuka limjamaa lake lilikuwa linampeleka spidi? Sijui kama lilikuwa mawifi zake walikuwa upande upi.
Lol! Jifagilie mamii. Hivi MJ1 yupo? Hapa lazima tungetungiwa na kashairi. Si unakumbuka limjamaa lake lilikuwa linampeleka spidi? Sijui kama lilikuwa mawifi zake walikuwa upande upi.
We nawe umefurahiiiiii! Mwone vile.
Mie wifi zangu nilikuwa nao watano nashukuru MUNGU wananipenda mpaka leo.
We nawe umefurahiiiiii! Mwone vile.
Mie wifi zangu nilikuwa nao watano nashukuru MUNGU wananipenda mpaka leo.
Sasa kwa nini hawakukusaidia kulikong'oli lile limjamaa? Manake samtaimz mawifi wanaokoaga jahazi.
Afu mpwa muolewaji mwenyewe anaitwa Fixed Point!!!!!! Stuka! Isije ikawa muolewaji kama yule wa Kenya.
We nawe umefurahiiiiii! Mwone vile.
Mie wifi zangu nilikuwa nao watano nashukuru MUNGU wananipenda mpaka leo.
tafadhali kaka Chrispin, kwani kuna u-masculine wowote kwenye hilo jina?
Sasa si bora magoti,je ungeenda kwa wale wenzetu salamu ni saluti na gwaride kama upo kambi ya jeshi,ingekuwaje?Hiyo ndio raha ya wachaga, hawamind mambo ya magoti. Huku ninakoenda magoti hao wanaona kama ndio heshima kwa msichana.
hahahaha pitia kwenye kijiwe changu magomeni
Sasa kama unaona wachaga ni poa badili muelekeo uone kama hujageuzwa punda,coz bila kazi kwa mchaga hamna heshima,ni kazi kuanzia asubuhi mpaka lukwiri,tena ni manual works tuu,ukitoka ofisini dukani au kukamua ng'ombe,lazima uchakae!!Hiyo ndio raha ya wachaga, hawamind mambo ya magoti. Huku ninakoenda magoti hao wanaona kama ndio heshima kwa msichana.
Hivi ile ofa ya 20% bado ipo au imeisha?
Sasa kama unaona wachaga ni poa badili muelekeo uone kama hujageuzwa punda,coz bila kazi kwa mchaga hamna heshima,ni kazi kuanzia asubuhi mpaka lukwiri,tena ni manual works tuu,ukitoka ofisini dukani au kukamua ng'ombe,lazima uchakae!!
Jifikirie mara mbili kama kweli unampenda huyo mchumba wako,jibu likiwa kweli unampenda basi magoti sio tatizo,hata ukiambiwa kuwa unatakiwa uchapwe viboko ndio salamu ya kwao,upendo utakulinda tuu!!lakini kama upo after some thing lazima utaje dhambi mpaka za babu zako kaburini,yaani utaona ni mateso mno!!Hiyo ndio raha ya wachaga, hawamind mambo ya magoti. Huku ninakoenda magoti hao wanaona kama ndio heshima kwa msichana.