Yna aika
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 349
- 1,011
Na huu ndo ukweli wanawake wengi tunashindwa kuukubali.Dada wa wanaume wanasahau kuwa mwanaume akishaoa wao si kipaumbele tena, kipaumbele na jukumu lake ni kuhusu mkewe.
Wao inabaki kuwa msaada na msaada si lazima.