Na imani humtegemei kwa chochote kaka yakoNampenda sana wifi yangu mke wa kaka yangu. She is my best friend.
Si wote. Itategemeana na mke ameingia kwa gia ganiHili halina ubishi tabu inayopatikana ni ya nguo kuchanika, hawa wanaojulikana mawifi inakuwa mtihani katika ndoa japo na wao huwa ni mawifi, yaani inakuwa hapaeleweki, embu wadada tupeni elimu inakuwaje?
Huwa ni unafiki tu, hakuna siku mawifi watakuja kupendana, Wala mtu na mkwewe jinsia ke "hiyo haipo .Kaka ukishakuwa tajiri na dada zako wawe njaa hakuna siku watakuja kumpenda
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hili halina ubishi tabu inayopatikana ni ya nguo kuchanika, hawa wanaojulikana mawifi inakuwa mtihani katika ndoa japo na wao huwa ni mawifi, yaani inakuwa hapaeleweki, embu wadada tupeni elimu inakuwaje?
Sina hata muda na wake za kaka zangu. Nina mengi sana ya kushughulika nayo. Kila familia zina maisha yake. Hakuna ugomvi ila Tunakutana kwenye mambo muhimu pekee.Hili halina ubishi tabu inayopatikana ni ya nguo kuchanika, hawa wanaojulikana mawifi inakuwa mtihani katika ndoa japo na wao huwa ni mawifi, yaani inakuwa hapaeleweki, embu wadada tupeni elimu inakuwaje?
Angalau wewe hutaki kujuana sana ,,, kila mtu na bz zake, ila kuna wale ambao wanaona kaka yao pia bado mali yaohapo ndo huwa utata unaanziaSina hata muda na wake za kaka zangu. Nina mengi sana ya kushughulika nayo. Kila familia zina maisha yake. Hakuna ugomvi ila Tunakutana kwenye mambo muhimu pekee.
Ukiwa humtegemei kaka yako kwa chochote huu ugomvi hautakuhusu maishaSina hata muda na wake za kaka zangu. Nina mengi sana ya kushughulika nayo. Kila familia zina maisha yake. Hakuna ugomvi ila Tunakutana kwenye mambo muhimu pekee.
Simtegemei chochote kila mtu na maisha yake. Changamoto ninayo pata ni mawifi dada wa mume wangu..hawa viumbe ni shidaNa imani humtegemei kwa chochote kaka yako
Hivi kwani shida huwa ni nini?🤔Simtegemei chochote kila mtu na maisha yake. Changamoto ninayo pata ni mawifi dada wa mume wangu..hawa viumbe ni shida
Ipo hivi!Simtegemei chochote kila mtu na maisha yake. Changamoto ninayo pata ni mawifi dada wa mume wangu..hawa viumbe ni shida
Hiiiii eti wanaume wanaofanana na kaka zao 😂😂😂😂😂 nacheka kama mazuriIpo hivi!
Wanawake kwa desturi hawapendani,!! Muda pekee mwanamke anakuwa kitu kimoja na mwanamke mwenzie ni pale anapokuwa kwenye hardship ili ampe pole ya kinafiki!!
Sasa wifi anapohisi kaka yake yupo simple , romantic kwa mkewe , chuki inaanza hapo kwa kuona mwanamke mwenzie anafaidi
Ugomvi wa mawifi na wake hautokuja kuisha maisha , kwa sqbabu dada zetu wanatamani wapate wanaume wanaofanana na kaka zao
Sent from my RMX3085 using JamiiForums mobile app