Mawazo yenu wakuu

Mawazo yenu wakuu

We acha tu,huyu kazoea nyuzi zake ni za kuomba tokeapo,mleta mada nisamehe tu😁,ukweli lazima usemwe,

Vijana wamesoma na Wana vyeti vyao,lkn wapo mtaani wanapambana.
Akusamehe kwa kosa lipi! Kwamba alitegemea akileta uzi wote tutaanza na unafki wa pole utapata tu bila kumsaidia? Lazima tumweleze hali halisi asifikiri jua linamuwakia yeye tu! Hali ni tete kila kona watu wanafanya vibarua huko nje hawashindi mtandaoni kuombaomba!
 
Ndio maana wanafirwa hawa, jitu lina simu janja, lina uwezo wa kuingia JF na kutuma huu upuuzi lakini bado linatafuta msaada..Ndio maana nchi ina watu milioni 60 lakini milioni 50 ni wapuuzi kama huyu. Badala ya kuingia kuchakarika huko shambani lipo huku kutafuta kitonga.
MATAKO YAKE. šŸ˜€ šŸ˜€ šŸ˜€ šŸ˜€ šŸ˜€ šŸ˜€
Angeomba michongo aache usenge!
 
Akusamehe kwa kosa lipi! Kwamba alitegemea akileta uzi wote tutaanza na unafki wa pole utapata tu bila kumsaidia? Lazima tumweleze hali halisi asifikiri jua linamuwakia yeye tu! Hali ni tete kila kona watu wanafanya vibarua huko nje hawashindi mtandaoni kuombaomba!
Asione kama tunamuharibia😁,aisee hii June ada,kodi nk,watoto likizo ikiisha waende shule, mambo ni mengi,Kila mmoja anapambana ki vyake.
 
Tunamuharibia kuombaomba? Atakuwa mjinga kiasi chake! Maisha ya watanzania wengi hayapishani sana! Ajikite kwenye vibarua vipo kibao tu!
Sana,apambane tušŸ™Œ,Kuna siku ni kitambo,nilikuwa naongeaa na simu na mtu nikasema naomba vocha😁😁,mama akasikia,eeh ananiambia sijazaa ombaomba,,hii kauli naishi nayo daimašŸ“Œ
 
Sana,apambane tušŸ™Œ,Kuna siku ni kitambo,nilikuwa naongeaa na simu na mtu nikasema naomba vocha😁😁,mama akasikia,eeh ananiambia sijazaa ombaomba,,hii kauli naishi nayo daimašŸ“Œ
Mama mzuri sana huyu, fuata hizo nyayo uokoe kizazi chako cha baadae! Yani mimi mwanangu aniombe kila kitu mwenyewe kuepusha aibu za nje huko mwisho aishie kubaya kisa kujiendekeza upuuzi!
 
Back
Top Bottom