Mawazo yenu wakuu

Mawazo yenu wakuu

Ninashukuru kwa ushauri
hapa nilipo hawaruhusu jiko la mkaa
Nimekuwa natumia gesi, hata jiko la mkaa sina kutokana na masharti ya wenye nyumba
Kwaiyo unashinda na njaa kisa sehemu uliyopo hairuhusu mkaa.! Eti 😎

Na unataka wadau wafunge mkono kwa huzuni kubwa ya simulizi

Mdogo wangu JF sio Fb Ukiona expert member anakujibu zingatia unachojibu acha maigizo
 
Mbona unaonekana ni mhubiri mzuri tu? Chukua biblia ingia kwenye masoko makubwa utakuja kunishukuru
Ahsante mkuu kwa kuona talanta ya kuhubiri
Ila mimi kwenye kuandika najitahidi kuongea sipo vizuri ( sina karama ya kuongea) kingine nimekuzwa kwenye uislamu japo kote naenda kanisani/msikitini
Naamini binadamu wote ni sawa na dini zinaleta utengano/ubaguzi
 
Unataka mawazo yapi?
Namna ya kupata fedha
Namna ya kulala njaa pasina tumbo kutahamaki
Namna ya kujaza mtungi ili uendelee kukopa kwa mangi
Au namna ya kupata kazi ya kukuwezesha kumudu gharama za maisha
 
Jinsi mtakavyoguswa kwenye hii changamoto yangu nitashukuru.

Ahsante wakuu zangu, karibuni kunishika mkono 🙏🏾
Unaomba msaada na husemi unapatikana wapi?, pesa itumwe wapi kwa wanaotaka kukuchangia?, unahitaji msaada wa nini na nini? Ushikwe mkono kwenye lipi?

Ndugu huko shuleni ulienda kusomea Ujinga?

Weka taarifa za kutosha ili usaidike, acha kutia tia huruma hapa Jukwaani, kila mmoja ana matatizo muhimu ni kupambana upate unafuu.

Magumu huyapitii peke yako na hakuna ambaye hajatoka mbali.

Be a Man, Ongeza details usaidike.
 
Unataka mawazo yapi?
Namna ya kupata fedha
Namna ya kulala njaa pasina tumbo kutahamaki
Namna ya kujaza mtungi ili uendelee kukopa kwa mangi
Au namna ya kupata kazi ya kukuwezesha kumudu gharama za maisha
Kwasasa namna ya kujaza gesi
Paragraph yako ya mwisho ina uzito mkubwa kwasababu inaleta ufumbuzi wa kudumu, unaweza kunifungua zaidi hapo?
 
Unaomba msaada na husemi unapatikana wapi?, pesa itumwe wapi kwa wanaotaka kukuchangia?, unahitaji msaada wa nini na nini? Ushikwe mkono kwenye lipi?

Ndugu huko shuleni ulienda kusomea Ujinga?

Weka taarifa za kutosha ili usaidike, acha kutia tia huruma hapa Jukwaani, kila mmoja ana matatizo muhimu ni kupambana upate unafuu.

Magumu huyapitii peke yako na hakuna ambaye hajatoka mbali.

Be a Man, Ongeza details usaidike.
Sorry Mkuu wangu
Nitashukuru nikipata msaada wa fedha kujaza gesi
Namba yangu: 0687374530
Jina: Juma Ramadhan
Mtandao: Airtel
Nipo Dar- Yombo kilakala
 
Dunia ni kama dudu linalotisha wakati wewe unajipambania ujikwamue kwenye vikwazo unavyopitia Kuna watu nao wanakupambania wakurudishe kwenye vikwazo.
Sentensi yako ina ujumbe mkubwa
Daah, siwezi laumu lakini kuna uwezekano binadamu wanapambana tusitoboe bila sisi kujua nasita kuamini hayo nisije kwenda kwa waganga
 
Sentensi yako ina ujumbe mkubwa
Daah, siwezi laumu lakini kuna uwezekano binadamu wanapambana tusitoboe bila sisi kujua nasita kuamini hayo nisije kwenda kwa waganga
Sijasema uende kwa mganga maamuzi ni yako amini usiamini Ila huo ni ukweli mchungu.
 
Back
Top Bottom