Unaweza nifananulia hili suala?Sijasema uende kwa mganga maamuzi ni yako amini usiamini Ila huo ni ukweli mchungu.
Itakuwa ana shida ki afya coz huu ni Uzi wake wa pili kuomba msaada
Mungu amfanyie wepesi
Sio kilema,Dah .... binadamu tunapitia changamoto sana
Nifafanue nini tena? wewe si ulisema huamini kama watu wanaweza kukurudisha nyuma isije ikakupelekea ukaenda kwa mganga? na me nikajibu Hilo lipo hata kama huamini uamuzi ni wako katika ufumbuzi na sio lazima uende kwa mganga.Unaweza nifananulia hili suala?
Umenikumbusha leo alfajiri natoka naenda kwenye mishe zangu nakutana na dogo mmoja anataka nimlipie nauli anaenda bagamoyo hana nauli, sikutaka hata kujua nikamjibu sawa subiri tupate change, baadae nikamuuliza inakuwaje huna nauli? Ooh siunajua tena sister sisi vijana nimetumia pesa yote mpaka nauli, lilivyo jinga linaniuliza si unapajua kitambaa au unapasikia tu? Yani nimecheza kamali pesa yote sina hata nauli dadaangu!Dah Pole, ningekutumia hata 5000 ila hamchelewi kwenda kubetia 🤔
Unataka mawazo yapi?
Namna ya kupata fedha
Namna ya kulala njaa pasina tumbo kutahamaki
Namna ya kujaza mtungi ili uendelee kukopa kwa mangi
Au namna ya kupata kazi ya kukuwezesha kumudu gharama za maisha
Umenena,hii omba omba nayo ni mtihani,,siku unakosa msaada unaanza kuona watu wabaya.Umenikumbusha leo alfajiri natoka naenda kwenye mishe zangu nakutana na dogo mmoja anataka nimlipie nauli anaenda bagamoyo hana nauli, sikutaka hata kujua nikamjibu sawa subiri tupate change, baadae nikamuuliza inakuwaje huna nauli? Ooh siunajua tena sister sisi vijana nimetumia pesa yote mpaka nauli, lilivyo jinga linaniuliza si unapajua kitambaa au unapasikia tu? Yani nimecheza kamali pesa yote sina hata nauli dadaangu!
Nikamwambia unaishi wapi ss saa 11 kasoro hii unaenda nyumbani au? Eti ndio kwahiyo katoka Bagamoyo kuja kucheza kamali! Basi wakati nampatia anasema yani na hili baridi naenda kulala mwenyewe ningekuwa hata na mtu, nikamwambia hivi ww uko sawa kweli huna nauli lakini unawaza kulala na mtu! Eti hapana nasema tu siunajua tena! Bora wewe una mafuta mafuta husikii baridi! Nikamwambia kuwa makini sana kama hii ndio tabia yako ukikwama kidogo unaombaomba barabarani litakukuta jambo! Sidhani kama unakosa mtu wa kumuomba kwenye simu yako ukiendekeza hii ni hatari kwako!
Na inapelekea vibaya mtu akitaka kukusaidia atataka kitu in return kama sio kugeuzwa maana yake nini! Ujasiri wa kuomba ni level nyingine kabisa!!Umenena,hii omba omba nayo ni mtihani,,siku unakosa msaada unaanza kuona watu wabaya.
Nahitaji kujua ni wakati gani unatofautisha ugumu wa maisha kama ni mkono wa mtu au sio mkono wa mtu... maana duuhNifafanue nini tena? wewe si ulisema huamini kama watu wanaweza kukurudisha nyuma isije ikakupelekea ukaenda kwa mganga? na me nikajibu Hilo lipo hata kama huamini uamuzi ni wako katika ufumbuzi na sio lazima uende kwa mganga.
Sana,hasa kama mtu una afya yako njema,ni Bora kujipambania mwenyeweNa inapelekea vibaya mtu akitaka kukusaidia atataka kitu in return kama sio kugeuzwa maana yake nini! Ujasiri wa kuomba ni level nyingine kabisa!!
Hata kama huna ugumu wa maisha unatakiwa ujue unaishi na walimwengu unatakiwa uende nao sawa.Nahitaji kujua ni wakati gani unatofautisha ugumu wa maisha kama ni mkono wa mtu au sio mkono wa mtu... maana duuh
Tena wa kiume! Jana nimekutana na kijana anauza madafu sinza, nikamuuliza anaishi wapi akasema vingunguti! Nikamuuliza anarudi vipi nyumbani akasema kwa baiskeli na sio mbali kashazoea! Huyu mtu katoka kigoma kaja kupambana bila kujiangalia ataonekanaje, huwezi ukakuta kanunua simu aanze kuomba mitandaoni! Kwanza kijana mpaka kuifahamu jf uizoee ghafla na kutaka misaada ni ujasiri mkubwa sana!Sana,hasa kama mtu una afya yako njema,ni Bora kujipambania mwenyewe
Afya ndio mtaji.
We acha tu,huyu kazoea nyuzi zake ni za kuomba tokeapo,mleta mada nisamehe tu😁,ukweli lazima usemwe,Tena wa kiume! Jana nimekutana na kijana anauza madafu sinza, nikamuuliza anaishi wapi akasema vingunguti! Nikamuuliza anarudi vipi nyumbani akasema kwa baiskeli na sio mbali kashazoea! Huyu mtu katoka kigoma kaja kupambana bila kujiangalia ataonekanaje, huwezi ukakuta kanunua simu aanze kuomba mitandaoni! Kwanza kijana mpaka kuifahamu jf uizoee ghafla na kutaka misaada ni ujasiri mkubwa sana!
"Unatakiwa uende nao sawa" - naomba nieleweshe hapa mkuuHata kama huna ugumu wa maisha unatakiwa ujue unaishi na walimwengu unatakiwa uende nao sawa.
Ndio maana wanafirwa hawa, jitu lina simu janja, lina uwezo wa kuingia JF na kutuma huu upuuzi lakini bado linatafuta msaada..Ndio maana nchi ina watu milioni 60 lakini milioni 50 ni wapuuzi kama huyu. Badala ya kuingia kuchakarika huko shambani lipo huku kutafuta kitonga.Sana,hasa kama mtu una afya yako njema,ni Bora kujipambania mwenyewe
Afya ndio mtaji.
Mpeni.Ndio maana wanafirwa hawa, jitu lina simu janja, lina uwezo wa kuingia JF na kutuma huu upuuzi lakini bado linatafuta msaada..Ndio maana nchi ina watu milioni 60 lakini milioni 20 ndio kama huli lipuuzi lipo mtandaoni kuomba pesa za bure badala ya kuchakarika huko shambani.
MATAKO YAKE. 😀 😀 😀 😀 😀 😀
sasa mbona kazunguka sana,, enweii naamini atapataPesa.