Plan Of Action
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 462
- 382
hahaha! joa acha zakoUso wa jamaa be like 'asee!gundu gani hili hapa njiani!! '
mimi nashuka naanza kutembea nae
hahaha! joa acha zakoUso wa jamaa be like 'asee!gundu gani hili hapa njiani!! '
hahaha! joa acha zako
mimi nashuka naanza kutembea nae
lakini kama wewe si mhalifu, kwanini uwaze mbaliKuna watu hawana moyo kama wako
Ahahahahaaaaaa noma sanahuyu jamaa akiingia hata chumbani kwako habebi kisu wala bunduki na kwa hiari utampa kabang au akupigie kelele unataka kumkata
Mi nimeangalia picha jamaa alivyomuangalia yule albinolakini kama wewe si mhalifu, kwanini uwaze mbali
..eti joah?
halafu huwa nakukubali sana...teh teh