[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]huyu jamaa akiingia hata chumbani kwako habebi kisu wala bunduki na kwa hiari utampa kabang au akupigie kelele unataka kumkata
hongera sana inaonekana hata mtu akikushikia kisu cha mkate unatoa min kabaanghuyu jamaa akiingia hata chumbani kwako habebi kisu wala bunduki na kwa hiari utampa kabang au akupigie kelele unataka kumkata
Na kweli mawazo ya watuMawazo ya watu
[emoji125] [emoji125][emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji123] [emoji106]
Kwani unadhani kuna mtu anasema ni watu wabaya basi...?? Watu wanaogopa kesi tuIla ni uelewa tu mdogo, mimi nina rafiki yangu albino nilisoma nae primary na secondary tulikaa bweni moja, jamaa ni smart sana kichwani, mcheshi ukiwa nae haina kuboeka, kwa sasa nackia yuko ulaya, kifupi ni watu wakawaida sana na wazuri ukiwajua ila hawapendi attention za kiboya!
Hii comment imenichekesha sanaKwani unadhani kuna mtu anasema ni watu wabaya basi...?? Watu wanaogopa kesi tu