Mawazo mbofumbofu!

Mimtamu

JF-Expert Member
Jan 27, 2012
368
105
Nimekutana na mawazo mengi ya wanajamii wa tz hasa wale waliokata tamaa ktk mambo fulani. Pata picha kama Mungu angesikia vilio vyao. Kuna hii hapa: Bora ningezaliwa Mbwa ulaya kuliko kuwa mtu bongo.. we umekutana na zipi?

Au mtu anawaza kuwa Mungu katokana na nini?
 
"Bora ningezaliwa mwanaume kuliko mwanamke"
Huyu angefaidi sana maana si kila ombi ni negative....hili ni positive....
 
"Bora mume/mwanamume wangu angekuwa mlevi"
"Bora ningekuwa na miaka 50+"
 
Bora ningekuwa mdhambi kuliko kuwa kiongozi wa dini anayepotosha waumini k.v....
 
Usijilaumu wewe kwa hali mbaya ulokua nayo mlaumu mama yako kwani wakati anatongozwa hakuwaona wakina baresa,manji,mengi .........
MP.
 
Usijilaumu wewe kwa hali mbaya ulokua nayo mlaumu mama yako kwani wakati anatongozwa hakuwaona wakina baresa,manji,mengi .........
MP.

ha ha ha....hii hata mimi huwa inanishangaza sana.....
 
bora mama yako angezaa chapati....ale ajue alipata faida....kuliko litoto la namna hii....(Hapo saa hiyo mtoto haambiliki)
 
Nimekutana na mawazo mengi ya wanajamii wa tz hasa wale waliokata tamaa ktk mambo fulani. Pata picha kama Mungu angesikia vilio vyao. Kuna hii hapa: Bora ningezaliwa Mbwa ulaya kuliko kuwa mtu bongo.. we umekutana na zipi?

Mhmmm!! Hii kali.
 
mtu kujiita jembe wakati zamani mtu wa kuja ukiwa unamuelezea ndio unasema jamaa fulani jembe jembe kavaa njumu.
 
Back
Top Bottom