Mawazo mbofumbofu!

Mawazo mbofumbofu!

bora nilizaliwa mimi kuliko ningezaliwa kama yule shoga.
 
Nakumbuka nilivyokuwa mdogo nilikuwa nawaza kuwa kunauwezekano magari pia yana jinsia. Kwamfano magari aina ya roli, pickup ni yakiume na dcm, hiace, mabus yote ni yakike.. leo nagundua yalikuwa mawazo mbofumbofu
 
Hapo hata mimi nilikuwa nikidhani mabasi ni jinsia yakike, lakn ukilinganisha power ya mizigo yabebayo unaweza uka make assumption kuwa malory yanabehave like mens...
 
Teh teh , Mwaj... Aah sory Husninyo umenifurahisha atii.., hv kwanin hood bus stand imetengwa na stand kuu ya hapo doma?
Nakusalimu kijana na washirika wenzako wakati huu....
Naangalia match yan wazee wa Chelsea faster ntarudi baadae au asubuhi
 
Back
Top Bottom