Nauza Akili
Member
- Oct 14, 2024
- 37
- 107
Tunapoelekea uchaguzi Mkuu na kuvunja bunge na serikali,hawa ndio mawaziri wangu bora,ukimtoa Waziri Mkuu mzee wetu Meja.
1. Juma Aweso waziri wa maji haitaji kuelezewa sana kazi yake inaonekana.
2. Innocent Bashungwa huyu ni kiraka anafit wizara yoyote utakayompa he's very Giniasi
3. Dotto Biteko licha ya kuwa ni msanii msanii sana (janja janja) ila kazi anapiga sana kijana wa watu apewe maua yake.
4. Dkt. Pindi Chana huyu maza hana mambo mengi wala makelele ila anapiga sana kazi.
5. Adolf Mkenda, he's a visionary man nikisema hivi nadhani inatosha sana.
NB: Waziri Mkuu yeye hayumo kwenye hii orodha sababu ni General incharge wa wizara zote.