Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 91
Ni vizuri sana kwa ajili ya taifa hili na maslahi ya taifa hili
Yule mzee wa SMG mbona sioni jina lake hapa? Ngeleja na mwenzake waondoke wote!Katibu wa PM anaingia ofisini sasa kuanza jukumu alilofuatiwa nyumbani kuja kulitekeleza hapa usiku huu ili kuandaa Taarifa itakayosomwa asubuhi na mtoto wa mkulima,
Na hiki ndicho kikosi kamili
Mkulo
Mponda
Nkya
Magembe
Nundu
Mkuchika
Chami
Maige
Ngeleja
Mkuu unaweza kuiunga katika ile thread ili kupunguza utitiri wa hizi INFO, Japo ile ya kwanza ilikuwa muhimu kusimama kama uzi unaojitegemea kuepusha usumbufu usio wa lazima kwa watanzania ambao sasa wanafungua JF kujua yanayojiri hapa DODOMA
Hakuna la ziada
ADIOS
Huyu ndo alitakiwa ajiuzulu kitambo tangu alipoibiwa Na changudoa kule morogoro.
Tumshukuru mungu kwa hao walio jiuzuru kula pesa za wa tz' wa tz tufunge na kuomba ili wakamatwa nakufugwa jela maisha iwefundisho na kwa wengine.
Njia nyeupe kwa bwana Januari Makamba kumrithi Ngeleje!
Tumganyeje= tumfanyeje. Hakuna adhabu inayomfaa huyu Malima zaidi ya kunyongwa publically.Huyu tumganyeje? Ndo kafanya madudu mengi mpaka sasa kati ya waliowasirisha barua ye hayumo