mkuu mbona kicha cha habari kinaongelea mambo ya kale 21 April 2011? au bado unaota
Hakika akifanya hivi ataokoa fedha nyingi ya walala hoi!Rais ateue mawaziri 14 na manaibu mawaziri 8
January Makamba, Serukamba wapewe rungu!
Sidhan kama kuna haja ya naibu kujiuzulu. anaewajibika ni boss wake na ye ni automatic amejiuzulu
Kinachofata; WANYONGWE hadharani kama wabunge walivyopendekeza
JK na Pinda ndio waondoke otherwise ni kubadili chupa tu wakati mvinyo ni ule ule.Kwa kuwa mawaziri wote waandamizi wamejiuzuru ni wakati muafaka sasa kwa JK kushauriwa kuunda baraza dogo la mawaziri atakalolimudu. Aidha achague vijana wachapakazi watakaorudisha hadhi ya serikali mbele ya wananchi.
Hakika huu ni wakati murua (Golden chance) kwa JK kurudisha heshima yake!