Dr Lucy Nkya mbona kaonekana USA
Na Mkullo naye yuko USA
wako pamoja wanaponda visenti vilivyobaki... si ajabu kimahaba:doh:
JF utani mwingi. . . hahahahaaa!
Dr Lucy Nkya mbona kaonekana USA
Na Mkullo naye yuko USA
wako pamoja wanaponda visenti vilivyobaki... si ajabu kimahaba:doh:
mwisho wa siku JK anaacha maswali mengi hivi urafiki atauendekeza hadi lini?......maana uteuzi wake kila siku ni noma tu.....
Mkuu huyu naye kweli akitakiwa awemo kwa kuwa ameshindwa kulisimami jeshi la polisi. Mauaji ya songea yalitosha kumkaanga.kwanini wasimwambie waziri wa mambo ya ndani pia au kwakuwa katoka zanzibar au ndio madudu yake yanakubalika
tumeona raiya wakiuliwa na polisi na yeye kimya au ndio nahoda analipiza ya tarehe 26 2001 kule pemba
CCM bado inapendwa na inahitajiwa sana na watz..na mpaka sasa hamna chama mbdala au chenye nguvu kama CCM. Vyama vyetu vya upinzani ni waganga njaa tu.Eti wameamua kujiuzuru ili kuinusuru CCM. Maajabu. Chama Cha Makamba HAKINUSURIKI. Wajiuzuru wasijiuzuru CCM HAITAKIWI na Watanzania.
Tatizo hawa wezi wakijiuzulu hawachukuliwi hatua,****** atasema ni ajali ya kisiasa.