Naunga mkono.Utawala wa haki na sheria uko mbinguni tu. Hata Wakoloni waliweka sheria zinazokandamiza maslahi ya wazalendo.
Ufipa wanachukua wenye akili timamu, vichwa maji wote wabapewa vyeo CCM.Naunga mkono.
Hata Ufipa ukitaka udumu ni lazima ucheze ngoma ya Mwamba!
Ufipa ni kuangalia Mwenyekiti wa kudumu anahitaji nini mchezo kwisha.Ufipa wanachukua wenye akili timamu, vichwa maji wote wabapewa vyeo CCM.
Wengine tulioona mbali tukasema ule ulikuwa mwanzo tu..maana alishtukizwa urais. Hakujiandaa, hakuwahi kuchukua hata fomu kaama kina asharoae migiro na balozi amina, hakuwahi pengine hata kuuwazia.Mwanzo Hayanga aliamini atafuata utawala wa sheria na haki. Lakini kadri siku zinavyokwenda anashindwa hicho kitu na kuzidi kuona ukubwa na ufahari wa kile kiti alichokalia.
Hapo alimaanisha yeye ndie mwenye maono, ukienda tofauti na maono yake unaliwa kichwa, tushaanza kuskia raisi anatoa kiasi flani kwa ajili fulani, bado kidogo ataanza kugawa fuba mitaani kama mwendazake.
Muda utaongea.
Iko waziRais Samia amesema kwa muda wa miezi sita amekuwa akiwasooma mawaziri na wateuke wake wote na wao pia wakimsoma.
Hii maana yake nini.
Maana yake ukiwa kaxini usihangaike kusoma sheria za kazi na za nchi zinasemaje hangaika kujua bosi wako anatakaje.
Ukiteuliwa na yeyote hangaika kujua anatakaje usihangaike kujua professìon yako au sheria inasemaje au katiba ya nchi inasemaje.
Ukiwa chini ya Magufuli hangaika kushangili kujifukiza na nyungu lakini Magufuli akifariki hangaika kuhimiza chanjo ya corona.
Ufipa wanachukua wenye akili timamu, vichwa maji wote wabapewa vyeo CCM.
Kabisa mkuu mimi sikuwaza hayo, kumbe kweli ule ulikua mwanzo tu.Wengine tulioona mbali tukasema ule ulikuwa mwanzo tu..maana alishtukizwa urais. Hakujiandaa, hakuwahi kuchukua hata fomu kaama kina asharoae migiro na balozi amina, hakuwahi pengine hata kuuwazia.
Dah kutakuwa na maendeleo ya Kweli hapo?Rais Samia amesema kwa muda wa miezi sita amekuwa akiwasooma mawaziri na wateuke wake wote na wao pia wakimsoma.
Hii maana yake nini.
Maana yake ukiwa kaxini usihangaike kusoma sheria za kazi na za nchi zinasemaje hangaika kujua bosi wako anatakaje.
Ukiteuliwa na yeyote hangaika kujua anatakaje usihangaike kujua professìon yako au sheria inasemaje au katiba ya nchi inasemaje.
Ukiwa chini ya Magufuli hangaika kushangili kujifukiza na nyungu lakini Magufuli akifariki hangaika kuhimiza chanjo ya corona.
This might be among best the thread of 2021! Umeamaliza mchezo wote. Tanzania kiongozi akitaka kubaki madarakani amjue kufuata matakwa ya rais aliyepo na siyo katiba wala sheria za nchi. Kwa kifupi hata kama rais atakosea namna gani basi vingozi wengine hawatakiwi kwenda kinyume naye.Rais Samia amesema kwa muda wa miezi sita amekuwa akiwasooma mawaziri na wateuke wake wote na wao pia wakimsoma.