MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
- Thread starter
- #41
"Hata mume kushindwa ku-communicate feelings zake kwa mke,mke ku-communicate na mume kuhusu matamanio yake kwake is all abt communication! Ila kwa wanawake tunajitahidi ku-communicate in the form ya 'kulalamika'
Na hii ya mwanaume kulalamika mkewe hapendi sex"
king'asti umenena but, hapa nagundua kuna matatizo mawili, moja ni lack of comminication na la pili ni how to communicate,
hii ya kulalamika si njia nzuri ya ku-communicate hata kidogo tena inaweza kuongeza matatizo mengine ikaonekana wewe ni mlalamishi na hakuna
mwanaume anayependa mwanamke mlalamishi so ni lazima muwe wabunifu wa kujua nzuri ya ku-communicate.
Olele dah aksante sana kwa kufungua njia. Lack of communication na hata inapokuwapo tunacommunicate vipi! Umetoa mfano wa kulalamika ni kweli kabisa kuwa si njia nzuri ya kufikisha tatizo lako! Maanahapa yanaibuka ya blaming one another na yale ya we mwanamke /ume gani hunijali unarudi usiku ilimradi haiwi communication ya kutatua tatizo bali ya kuzidisha gap na hivyo kupelekea wenza kuanza kutafuta njia mbadala za kuyafanya maisha yasonge mbele.
Olele umefungua njia, how should we communicate hizi resentments zetu ?