Mawasiliano na Mahusiano

Naomba gaga ujibu hili suala.
heshima itawale ukumbi
asanteni sana kwa usikivu
 

bht...bht...plzzzzz.....khaa! mwili 1 ni kauli ya bible kivitendo kila mmoja na mwili wake, ukickia mwanamke ametoka nje ya ndoa then anamsema mume wake vibaya kwa hawara ujue huyo ubongo wake una kreki, yeye atajifanya ni tamaa za mwili 2 zinampeleka huko but kwake hakunaga matatizo...wanaume ndio wenye hizo tabia chafu, na hawara nao cjui wanapatiaga wapi muda wa kuckiliza huo upuuzi wkt baada ya nusu saa anakwambia ngoja niwahi home, nyamaza niongee na wife, cjui nn na nn, hapo alishamsema wife vibaya weeee...oohh wife mchafu, kanenepeana, hatulali kitanda kimoja , kesho mnakumbana nakumat/mr price mke anasukuma 2mbo akiwa na mr wake, cjui kaipata kwa nguvu za roho mtakatifu...aggrrr ctaki mie!
 
Yaani Tigger sijui anajaribu ku-prove nini... Dah! Nimemiss the original lakini.

:focus:

Tigger is my favorite Disney character.

And Tigger wants to prove wrong the assertion of 'eccentric'
 
Ni kama sahani iliyovunjika...unaweza ukaiglue pamoja na kuendelea kuitumia ila kila mara utaona alama ya pale ilipopasuka...na ni rahisi for it to fall apart again.

Mamaa wa matashtiti...nambie...
 
Haya jamani...enough with this mumbo-jumbo inundation.

Nimechakachua vya kutosha. Tutaonana kwingine.
 
Gademu! Nimerudi tena kuja kuipinga hii kauli!

Naipinga kwa sauti kuu!

Hiyo kauli inawahusu wanawake tu!!!

Wanaume wana"Genuine" reason for cheating........... Period!!!

Sitajibu maswali!

Samehe mara sabini
 

sikatai mbona, lakini mpendwa hivi aibu ya mumeo sio yako?
hapo kwa bluu si atajipa tu moyo labda umepandikiziwa..lol!!!
sasa si unaona eeh....nyumbani hajakwambia umenenepeana, wewe ni mchafu na yeye hapendezwi na hiyo tabia, anaenda kufunguka hukooo nje!! nini sababu sasa? labda hata akisema wewe umegoma kubadilika au wala humpi hiyo nafasi japo ayazungumze yaujazayo moyo?
 
gademu! Nimerudi tena kuja kuipinga hii kauli!

Naipinga kwa sauti kuu!

Hiyo kauli inawahusu wanawake tu!!!

wanaume wana"genuine" reason for cheating........... period!!!

sitajibu maswali!
nayo ni tamaa tuu wanatamani tamani kila mahali
 
Gademu! Nimerudi tena kuja kuipinga hii kauli!

Naipinga kwa sauti kuu!

Hiyo kauli inawahusu wanawake tu!!!

Wanaume wana"Genuine" reason for cheating........... Period!!!

Sitajibu maswali!

salamu je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…