MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
- Thread starter
-
- #221
wengi wa frnds zangu wanao cheat ukiwauliza sababu zote zinatokana kutendwa na waume zao, wakaona bora watafute "faraja/kipoozeo"...mwanaume haniguc cku hizi, mwanaume ana hawara anamjengea,mwanaume amezaa nje etc....kwa c2ation za frnds zangu za ku cheat huwa cwalaumu bali nawahurumia 2 coz naamini anajua ni kiac gani kitendo anachofanyiwa na mumewe kinamuumiza na anajua madhara/raha za yeye kuamua ku cheat...wanayapitia mengi labda ndio wameona ni njia yao ya kujifariji.
Nyie mkichitiwa sameheni mara sabini bana. Si mungu ndo anasema hivo...au nimekosea wajameni?
Shika ushikilie ulichonancho.....olooooo
We Tigger wewe......... unawaambia wanaume si ndio?? maana wanawake wengi husamehe!
Hahahahhaha Tigger unalo unacholitafuta hahaha eti nini?? wanawake wacheat kwa matamanio? hahaha hawaruhusiwi husikiii!! na akikamatwa na mumewe anaachika ila mwanaume anaruhusiwa maana yeye ndio binadamu hahaha!! Haya bwana namsoma Asprin kwa nguvu hapa loh.
Unanikumbusha mkaka mmoja yeye alikuwa hodari wa kucheat, ila alikuwa anacheat kijinga anacheat na kuhakikisha "yoghurt" yote inakwisha na akija nyumbani mke hamgusi hata ajipitishe na vikhanga vya India vilivyolowanishwa maji mwilini. Mwanaume hageuki hata kidogo, wiki, miezi, mbaya zaidi akawa na jeuri haswa mke akimwuliza ni matusi na kejeli. nyumba ikawa kituo cha police baada ya kudakwa na kibinti cha chuo.... miezi miwili hajulikani alipo, anapiga tu simu kuulizia wanae wanaendeleaje.
Siku kajikuta anagonganishwa na Pedejee anakuja juu kwa kibinti akaulizwa "Ehe we bwana we vipi, ulipohama kwa mkeo ukaja kuishi nyumbani kwangu ilihali hujui kodi nalipaje ulifikiria nini??" akajikusanya aje kwa mkewe, akamkuta mkewe na mimba ya miezi minne. Baba ni nani, kijana muuza duka la mkewe!!!
No way Jose! I fundamentally and categorically reject that assertion. Cheating is a premeditated act. No one can make anyone cheat. The cheater cheats on his or her own will.
Deflecting blame to others is irresponsible and stupid. It is about time we start shooting straight and call things for what they are. How can a grown ass man or woman say that their spouse made them cheat? Did they tie you up or put a gun to your head and told you to go cheat?
People can call me whatever they want (eccentric, weird, odd, or whatever) but I just don't buy those kind of sorry ass excuses. You take off your clothes and sleep with someone other than your spouse, that is your fault. Man up or woman up and own it.
Heck, you were courageous enough to get naked and have sex with someone other than your spouse and now you don't have the courage to own up to what you did and you gonna blame someone else for it? Give me a break!
People, if you cheat don't start blaming others for it. Fess up and take responsibility.
nyamayao, naomba uwe mwalimu wangu wa kujieleza. Hiki ndicho haswa ninachohangaika kukieleza lakini kila nikieleza nadhani nakieleza in a wrong way. ninaomba watu wanisaidie tuchukulie hawa wanawake rafiki zake nyamayao kabla hawajaamua kucheat kutokana na c2ation zao hizi za kuwa neglected ndani ya ndoa, kukaa bila kuguswa wakati nao wana matamanio, miezi na miezi - wanakuja kwako wewe mwanaJF anakuomba ushauri afanyeje. utamshaurije?? mind you ni watu ambao communication ilikwishavinjika na wenzi wao hawako tayari kuketi chini na kusikiliza hisia za wenzi wao.
Lengo hapa ni kuangalia alternative nyingine zaidi ya kucheat.
Na kinachoshangaza zaidi hawa wanaume wetu akienda huko nje mapenzi atakayotoa mwenyenzi Mungu ndio anayejua tu mana atajitahidi ujuzi wote atauonyesha huko nje sio romance za kufa mtu , huko chumvini ndio usiseme atahakikisha ulimi wote unaingia huko , sasa siku anataka kudo na wife maskini sie kwanza atakuja late , huku amelewa na huo mdomo unavyotoa miharufu ya pombe unatamani uhame chumba ,kinachofuata hapo utapapaswa kiana then mtu anadumbukiza liukuni lake na akishamwaga hizo yorgurt zake anashuka hajali amekufikisha au la we utabakia tu unahesabu tu misumari kwny dari, sasa mie najiuliza kiliko hayo maufundi yote kwenda kumalizia huko nje ambako mmepangwa foleni kama wapiga kura si bora uonyesha kwa wife ambapo utakuwa umepunguza ile matamanio ya wife kutafuta mtu mwingine ambaye ataweza kuenjoy naye mapenzi?

Nimeshasema tena na nitasema tena na tena, hii ni lame excuse! Hao rafiki zake ameongea na waume zao na kujua kwa nini nao waume zao waliamua kucheat? I tell you kila mwanamke anayecheat has something to say about her husband kumsababishia.
Ni sawa na Changudoa, umkute barabarani akuambie kuwa sababu ni kwa kuwa hana kazi!!!! Haiingii akilini.
Siyo wajibu wa mme kukufikisha, we ndo una wajibu wa kuhakikisha kama unafika!!! kama huwezi ku-negotiate jinsi atakavyokufikisha, atafanya kwa vile nafsi yake inamtuma! Kama hujaridhika, ni wajibu wako kuhakikisha kuwa next time mnafanya hadi unaridhika. Usitarajie mmeo akustareheshe wakati wa tukio, hana feelings zako, hajui kinachotokea kichwani na moyoni mwako.
Ni wajibu wa kila mtu kuhakikisha kuwa mwenzie anafanya vile anavyotaka yeye; yaani usiwe passive huku ukitegemea kufurahishwa, hata mwili utashindwa kurespond!
nyamayao, naomba uwe mwalimu wangu wa kujieleza. Hiki ndicho haswa ninachohangaika kukieleza lakini kila nikieleza nadhani nakieleza in a wrong way. ninaomba watu wanisaidie tuchukulie hawa wanawake rafiki zake nyamayao kabla hawajaamua kucheat kutokana na c2ation zao hizi za kuwa neglected ndani ya ndoa, kukaa bila kuguswa wakati nao wana matamanio, miezi na miezi - wanakuja kwako wewe mwanaJF anakuomba ushauri afanyeje. utamshaurije?? mind you ni watu ambao communication ilikwishavinjika na wenzi wao hawako tayari kuketi chini na kusikiliza hisia za wenzi wao.
Lengo hapa ni kuangalia alternative nyingine zaidi ya kucheat.
Babu Asprin! Kama kawaida yako hwishi visa! Haya wanaume wana genuine reason ya kucheat? Ipi hiyo? Na kwa vipi haiwahusu wanawake wakati wote tuko sawa, au wengine wako sawa zaidi??
Nyie mwanchekesha......... Yaani mpaka leo hii hamuijui sababu au hamkubaliani na sababu? Mbona iko wazi jamani na kila siku huwa naiimba?Na kinachoshangaza zaidi hawa wanaume wetu akienda huko nje mapenzi atakayotoa mwenyenzi Mungu ndio anayejua tu mana atajitahidi ujuzi wote atauonyesha huko nje sio romance za kufa mtu , huko chumvini ndio usiseme atahakikisha ulimi wote unaingia huko , sasa siku anataka kudo na wife maskini sie kwanza atakuja late , huku amelewa na huo mdomo unavyotoa miharufu ya pombe unatamani uhame chumba ,kinachofuata hapo utapapaswa kiana then mtu anadumbukiza liukuni lake na akishamwaga hizo yorgurt zake anashuka hajali amekufikisha au la we utabakia tu unahesabu tu misumari kwny dari, sasa mie najiuliza kiliko hayo maufundi yote kwenda kumalizia huko nje ambako mmepangwa foleni kama wapiga kura si bora uonyesha kwa wife ambapo utakuwa umepunguza ile matamanio ya wife kutafuta mtu mwingine ambaye ataweza kuenjoy naye mapenzi?
Eh........... Caro bwana!! Sometimes unanishangaza sana mpenzi. Unatuhubiriaga kwa ukali na vitisho bana somo linakuwa halina ladha nzuri mpenzi.Nyani Ngabu I salute you men. hakuna wa kusababisha mwenzie atoke nje ya ndoa, kwa nin inapotokea hiyo usichukue jembe ukalime kuonyesha msisitizo wa kukasirishwa na tabia ya mwenzio?
Hiyo ni laana ndiyo maana, hata watoto tunaowazaa wanakuja na laana hiyo hiyo. Kwa maombi inawezakana. Hizo communication skills zenu kasomeeni master na PhD's, kwa hawa matapelii wa mapenzi haiwezekani.
KipimaPembe bwana, sawa ni lame excuse but tuchukulie kuwa hawa wanaishi maisha ya hivi (na si wanawake tu hata wanaume wengine wako kwenye wakati mgumu kindoa) tusaidiane kutoa solution (Tuassume kuwa hakuna alternative ya kucheat- hakuna kitu kama kucheat duniani) unamshaurije rafiki yako anayekuja kukulilia kuwa anateseka kwenye ndoa kwa kunyimwa haki zake na bado hawezijiondoa. Please tusaidiane tupate njia mbadala badala ya kucheat!
ipi? m2 hajaguswa miezi 9 na mnalaa kitanda kimoja utamshauri nn? kwamba vumilia 2?....(2weni wa kweli).na kati ya hao frnds zangu kuna baadhi wana hawara wa permanento kabisa, wanaoneana wivu kama vile hawajaacha wenza huko makwao, mmoja ana uhusiano wa 3yrs sasa na mume wa m2, anasema ana amani/raha na maisha kabisa na hamuulizi tena mume wake hili wala lile, mzungu wa 4 cku zinasonga kesho kila mmoja anajua pa kuutendea mwili haki, na kama nyamayao namuona sasa hata anarudia hali yake ya zamani, alicnyaa kipindi cha migogoro yake na mr akawa hatamaniki, yeye anakwambai 2po kwa ajili ya watoto 2 mengineyo kila m2 ajisevie kimpango wake.....MJ1 ukiachia mbali wadada wanao cheat kipuuzi puuzi kuna wengine huwezi kuwalaumu kwa hicho kitendo, na ndoa itaendelea kwa ajili ya watoto....tough game....
Eh........... Caro bwana!! Sometimes unanishangaza sana mpenzi. Unatuhubiriaga kwa ukali na vitisho bana somo linakuwa halina ladha nzuri mpenzi.
Na kinachoshangaza zaidi hawa wanaume wetu akienda huko nje mapenzi atakayotoa mwenyenzi Mungu ndio anayejua tu mana atajitahidi ujuzi wote atauonyesha huko nje sio romance za kufa mtu , huko chumvini ndio usiseme atahakikisha ulimi wote unaingia huko , sasa siku anataka kudo na wife maskini sie kwanza atakuja late , huku amelewa na huo mdomo unavyotoa miharufu ya pombe unatamani uhame chumba ,kinachofuata hapo utapapaswa kiana then mtu anadumbukiza liukuni lake na akishamwaga hizo yorgurt zake anashuka hajali amekufikisha au la we utabakia tu unahesabu tu misumari kwny dari, sasa mie najiuliza kiliko hayo maufundi yote kwenda kumalizia huko nje ambako mmepangwa foleni kama wapiga kura si bora uonyesha kwa wife ambapo utakuwa umepunguza ile matamanio ya wife kutafuta mtu mwingine ambaye ataweza kuenjoy naye mapenzi?
Hapo unapofunga milango kuwa hawezi kujiondoa mie ndo napatilia shaka! Kwa nini hawezi kujiondoa? ................. Huyo anakuwa anataka ku-cheat tu kwa kuwa naye anaona ni kitu cha kawaida. Ndo wengi hao!! Yaani anataka kuila keki na kubaki nayo kama anavyosema NN.
Hawezi kujiondoa kwa sababu huyo mme wake kuna vitu anafanya sawa sawa, yaani kama kumlea na kumprovide kila kitu. Hii haiwezi kutoke kama huyo mme anamchukia the way mnavyotaka kutuaminisha! No way.
Ni kwamba mtu ana mawazo yake ya ku-cheat, anayatafutia justifications, ndo utakuta hivyo visababu vya kunyanyaswa n.k.
Huwezi kumshauri mtu eti aendelee kukaa kwenye abussive relationship eti tu kwa sababu anapata faraja huko nje, noooo. Ukiona hivyo ujue after all hiyo relationship yake si abusive kihivyo. Je umeongea na upande wa pili kabla ya ku-make your mind kuwa rafiki yako kweli anaonewa???? Haya maushauri tunayoyatoa bila kupata picha kamili ni balaa katika mahusiano mengi!!