Mawasiliano na Mahusiano

Mawasiliano na Mahusiano

Kila kitu kwa kiasi kipima pemba sio unazidisha pombe na mahawara paka unamsahau wife, na hata kama ningemzuia kunywa pombe kipindi cha uchumba angeweza kukubali but mkishaonaona anarudia tabia yake ya ulevi as you know people are god pretenders,cha msingi ni nyie wanaume kutambua tu kuwa wake zenu walivyokubali kuolewa nanyi hawakufuta chakula au mavazi mana hata kwao walikuwa wanayapata hayo!
 
a

hivi mume wa huyu frnd wangu yeye ni sawa alichofanya?.....kwamba ana hawara na wamezaa na ana mimba ya mtoto wa pili, huyu mume unamsemeaje kwa upande wako?
hiyo sasa ni malaria sugu.................... mtoto wa 2? hapo cha kufanya kama bado unampenda mume basi ukubali tu ku-share, otherwise chapa lapa
 
Nimesema kuwa sababu ni kupenda na kuamua kufanya. Mme aliamua kufanya kwa sababu alikuwa anapenda kucheat. Hata hivyo, frnd wako naye alikuwa anakubaliana na hilo, hivyo naye akafanya reciprocity, yaani akafanya kile mme amefanya. Hapo hakuna wa kumlaumu mwingine wote "manziganyanza" (Mwl. Nyerere).

Huyo anayelalamika kuwa alisababishiwa, nakuhakikishia hata huyo mme asingekuwa hivyo, angetoka tu!! Ni sawa na pale nilipotoa mfano wa kuwa ukimkuta CD kwenye kazi ya u-CD atakuambia sababu ni ukosefu wa ajira!! Lakini kule kwenye ajira ma-CD hawapo? jibu ni wapo.

Huyo aliamua kufanya na yeye sababu ni option aliyokuwa nayo kichwani na anaona inafaa. Mme asingefanya hivyo, kungekuwa na sababu nyingine ya yeye kutoka!! Angesema mme ana kisukari....
 
Kila kitu kwa kiasi kipima pemba sio unazidisha pombe na mahawara paka unamsahau wife, na hata kama ningemzuia kunywa pombe kipindi cha uchumba angeweza kukubali but mkishaonaona anarudia tabia yake ya ulevi as you know people are god pretenders,cha msingi ni nyie wanaume kutambua tu kuwa wake zenu walivyokubali kuolewa nanyi hawakufuta chakula au mavazi mana hata kwao walikuwa wanayapata hayo!

Mhhhhh, mie naambiwa na mamsapu wangu kuwa ndoa si sex ........ akiwa anajustify kuninyima kwa mwezi au zaidi; na hapo je??? ..... wakati wa uchumba alikuwa akisolve problem kwa kunigawia. Sasa hivi ana-solve problem kwa kuninyima!!! Unaona eeee, na wanawake mmo!! Na siwezi kujustify kutoka nje kwa sababu eti ananinyima ........... can u see it?
 
Shukrani rafiki................. wakwe zako hawajambo, wangu wanaendeleaje?
mawasiliano na mama yao yanaendaje? au sasa imefikia kwa sms?
Wameamka salama na kuwahi msalani kama kawaioda, namshukuru Mungu.

Haa! mawasiliano bado kwa barua bana!
 
Tone moja la ziada laweza kukuumbua. We unapanga kuachia haja ndogo badala yake unaachia kubwa.......Imagine!!
ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kweli kabisa rafiki yangu, kuumbuka kupo kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
sasa hapa Yerusalemu wanaongea habari muhimu sana. mimi si mgeni kabisa hapa na ninafurahia sana hii topic. Big up kwa MJ1
 
Nimesema kuwa sababu ni kupenda na kuamua kufanya. Mme aliamua kufanya kwa sababu alikuwa anapenda kucheat. Hata hivyo, frnd wako naye alikuwa anakubaliana na hilo, hivyo naye akafanya reciprocity, yaani akafanya kile mme amefanya. Hapo hakuna wa kumlaumu mwingine wote "manziganyanza" (Mwl. Nyerere).

Huyo anayelalamika kuwa alisababishiwa, nakuhakikishia hata huyo mme asingekuwa hivyo, angetoka tu!! Ni sawa na pale nilipotoa mfano wa kuwa ukimkuta CD kwenye kazi ya u-CD atakuambia sababu ni ukosefu wa ajira!! Lakini kule kwenye ajira ma-CD hawapo? jibu ni wapo.

Huyo aliamua kufanya na yeye sababu ni option aliyokuwa nayo kichwani na anaona inafaa. Mme asingefanya hivyo, kungekuwa na sababu nyingine ya yeye kutoka!! Angesema mme ana kisukari....

khaa wewe, utakubalije ishu kama hiyo? alipambana akashindwa, mume waliwekwa vikao hakujali....hiyo red...2ongelee ishu iliyopo mezani, mume ndio alianza kama acgeanza bac 2ctabiri kwamba ingekuwaje, hakuna anaejuwa.....
 
ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kweli kabisa rafiki yangu, kuumbuka kupo kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
sasa hapa Yerusalemu wanaongea habari muhimu sana. mimi si mgeni kabisa hapa na ninafurahia sana hii topic. Big up kwa MJ1
Usisahau, Bikira Maria ana mimba ya miezi nane sasa........ chonde chonde tufanye maarifa asijejifungulia kwenye hori la ng'ombe.......

Malaria haikubaliki!!
 
Nyamayao huyu KipimaPembe mie ananifurahisha sana. Anao mtazamo flani mzuri ambao unatufundisha kitu kikubwa sana kwenye mahusiano. Nadhani anachojaribu kusema ni kuwa no matter what the situation, unatakiwa uwe mwaminifu ninamwelewa. Ila ninachoshindwa kumpata vizuri ni lama anaadvocate uvumilivu hasa kwa wale ambao hawana uwezo wa kutoka kwenye hiyo relationship.wasugue magoti waombe wenzi wabadilike au sio?
 
khaa wewe, utakubalije ishu kama hiyo? alipambana akashindwa, mume waliwekwa vikao hakujali....hiyo red...2ongelee ishu iliyopo mezani, mume ndio alianza kama acgeanza bac 2ctabiri kwamba ingekuwaje, hakuna anaejuwa.....
Mume alichofanya sio sawa kabisa, ila hiyo haimaanishi kuwa mke kulipiza kisasi kapatia...................
kuna siku mtu aliniambia ukitembea barabarani ukakuta m-baba kageukia pembeni kidogo ana-wiwi watu watapita tu na kuona ni jamba ambalo lipo lipo, lakini hapo hapo ukamkuta m-mama ana-wiwi, bila kujificha hakuna mtu ambaye atapita bila kushangaa..................
Napenda sana tunavyochukuliwa........ always sisi ni watu wa staha................. tujitahidi kuitunza heshima hii tunayopewa
 
Nyamayao huyu KipimaPembe mie ananifurahisha sana. Anao mtazamo flani mzuri ambao unatufundisha kitu kikubwa sana kwenye mahusiano. Nadhani anachojaribu kusema ni kuwa no matter what the situation, unatakiwa uwe mwaminifu ninamwelewa. Ila ninachoshindwa kumpata vizuri ni lama anaadvocate uvumilivu hasa kwa wale ambao hawana uwezo wa kutoka kwenye hiyo relationship.wasugue magoti waombe wenzi wabadilike au sio?

Ndio maana yake. kama kwa haki ya Mungu huwezi kutoka kwenye hayo mahusiano, kwa sababu yoyote ile, dawa ni kusugua magoti, tena unamgombeza kabisa Mungu kwa ku-quote mistari yake yote ya ahadi
 
hiyo sasa ni malaria sugu.................... mtoto wa 2? hapo cha kufanya kama bado unampenda mume basi ukubali tu ku-share, otherwise chapa lapa

"yupo kwa ajili ya watoto"...na ukweli mume anawajali sana watoto wake....mdada kaamua kutokuuliza tena kabisa, alickia/akamuaona mwenzie ana 2mbo walaaaa hajahoji/kuuliza lolote maisha yanasonga.
 
khaa wewe, utakubalije ishu kama hiyo? alipambana akashindwa, mume waliwekwa vikao hakujali....hiyo red...2ongelee ishu iliyopo mezani, mume ndio alianza kama acgeanza bac 2ctabiri kwamba ingekuwaje, hakuna anaejuwa.....

Solution kwa maoni yangu ni kulala mbele. Issue kama hizo ni potentially fatal kuendelea kuishi pamoja. Nina mifano zaidi ya miwili ambapo mambo yaliishia kwenye HOMICIDE.

Kama mimi ningekuwa mshauri wa huyo frnd wako, absolutely, hakuna sababu ya kuendelea kuishi pamoja, hiyo marriege iko irreparably damaged! Sasa wanasubiri nini!!??

Kuna siku mtaona mabaya zaidi, ingawa cpendi kutabiri hivyo. Ila nina cases more than two which finally ended in one of the spouses losing life!!
 
Back
Top Bottom