Mawasiliano na Mahusiano

Genesis ya mambo yote iko kwenye uchumba! Kina dada mnatoa concessions nyingi sana mnapokuwa kwenye uchumba ... kuogopa mbuzi asikate kamba.

Mkishaingia kwenye ndoa, zile concesion mnaanza kufuta moja baada ya nyingine! Hapo ndo Communication breakdown inapoanzia. Mwanaume akianza tu kuwa mkali katika kuachia concessions, basi ataporomoshewa malawama ya unyanyasaji, kutojali, n.k. Halafu kinachofuata ni kugawa dudu nje!

Halafu mnalalama eti mwanaume ndo kawasababishieni! Mhhhhh, ogopeni mungu nyie! Halafu ukiangalie kule kwa wapima ngoma (akina angaza) kila mwanamke anayekutwa na miwaya atammwagia milawama kibao mme wake. Cha ajabu, katika kila couple 10 zinazopima na kukutwa kuna miwaya, kati ya hizo 4 hadi 5, wanaume hawana miwaya - ila wake zao wanayo! Ni kama couple moja tu utakuta mme ana miwaya mke hana. Zilizobaki wote wanavyo. Sasa hapo utasema watokaji zaidi kina nani?

Hizi takwimu zingine zinafichwa tu kuwalinda kina mama! Wenyewe ukiwauliza watakwambia takwimu hizi hazina maana. Lakini hata kule kwa mkemia mkuu kwenye DNA, asilimia kama 60 ya watoto waliokwisha chekiwa pale DNA, hawakuwa watoto wa kina baba waliokuwa wakiamini kuwa wale watoto ni wao! Nyie ........ kina mama waacheni tu; kama hawajakung'ata utawaona malaika!
 
kwa iyo unataka kusema kwanza kina dada tunanyenyekea mahusiano ya awali ili tupate ndoa? Then tunakuja kubadilika?
Sawa tunabadilika jiulize ni nini kinachowabadilisha wanawake wakishaolewa sasa from there tunaweza tukaendelea
 

hahahaha swirr...mie mwenyewe nikilazimika kumchiti msukuma ntapitia kwako...hahahaha
 
kwa iyo unataka kusema kwanza kina dada tunanyenyekea mahusiano ya awali ili tupate ndoa? Then tunakuja kubadilika?
Sawa tunabadilika jiulize ni nini kinachowabadilisha wanawake wakishaolewa sasa from there tunaweza tukaendelea
Smiley watu wengi sana wanatumia hiyo strategy...sio wadada tu hata wakaka sema tu kwa sababu tofauti.

Ndoa nyingi unazosikia zina vilio sasa hivi zilikua na uchumba mtamu pia mwanzo mtamu...ila baada ya muda yule aliyeficha makucha anaona well nimeshawekwa/muweka mwenzangu ndani sasa kuachana na nini sio rahisi hivyo najiachia na kuonyesha ukweli wangu.
Kama ni mvivu hayaa...kama sex sio muhimu kwake migongo inagongana...kama ni mkorofi nundu zinaonekana and so...so!!
 
mapenzi ni kizungumkuti, kama hujacheat mshukuru Muumba na uzidi kumuuomba akuepushe na iyo tamaa, na kama ulishachitiwa na ukajua mwombe muumba asikuonyeshe/ akupe upofu kbs usijue.

aya mapenzi hayatabiriki, binadamu kamwe hakosi sababu, but all in all TAMAA ndio chanzo
 
apate atakacho, akishamwaga yogurt yake anarudi kwa mama hambiliki.....hiyo red, kama hajiheshimu kwa upande wangu aibu yake itabakia kuwa yake, ckum2ma alifanya na akili zake timamu, so inategemea na aina ya aibu.

lol....uuuuuuuuffff!!!
 
lol....uuuuuuuuffff!!!


oohh yeah mae...kuna cku 2likuwa mahali na fnds zake msukuma na wake zao, sasa mke wa mmoja wao akawa na yale mashauzi maongezi mengiii,priii nyingi, yeye ndio muongeaji/mjuaji kuliko wake za wengine wote, cjui ile kuongea sana ilimpumbaza hakujua kiwango cha pombe kinaelekeaje, alilewa mpaka akatapika hadharaniii, hahaha wkt 2narudi msukuma akaniambia yaani ingekuwa ni wewe leo ningekulabua haswaaa "huwezi kunipa aibu vile"....hahahah, lakini mume wa yule dada alifanya kumchukua mke wake taratibuuuu kwenye car na alirudi kuja kuendelea na pombe kama hakuna lililotokea......so kuna aibu na aibu ya kujickia vbaya kwa mwenza wako kwa jinc ya wenyewe mlivyo.
 
Reactions: bht
kwanza lizzy mimi ni smile sio smiley -tabasamu naona gongo na dadii za matejoo zinakusumbua
back to topic mimi navojua na ukweli ulivo wanaume ni macheaters na ni waongo ndo wanaoharibu mapenzi na ndoa
wanaume ndo kiini cha mabadiliko kwenye mahusiano
mwanaume ndo mwenye uwezo wa kufanya mahusiano yawe mazuri au mabaya
wanawake wanamalizia tu
 

hapo kwenye bold hahahahahahhahh, naona msukuma alionyesha msisitizo, lol
 
Heeheheh...we niache niite Smiley bana nionekane mjanja huku matejo...siunajua tena.

BTT...dearest...dearest...dearest... hamna sehemu uliyokosea kama kusema kwamba ''wanaume ndio wenye uwezo wa kufanya mahusiano yawe mazuri au mabaya....''.Ukweli ni kwamba kila mmoja ana nafasi yake ya kufanya mahusiano yawe mazuri kwake mwenyewe na kwa mwenzake pia na sio mmoja wao. Unless huo uhusiano unaendeshwa na mwanaume na kila anachosema/taka/fanya yeye ndio kinachofsiriwa kama furaha ya mke/mpenzi wake.

Mf. Unakuta msichana wakati wa upenzi/uchumba alikua ana-acta all wifey like , anaenda kwa mwenzake anapika..anasafisha..anafua..anapanga/pamba nyumba na kuondoka zake.Yani pamoja na kwamba haishi pale bado anaonyesha kumjali mwenzake na kujali namna anayoishi. Akishaolewa tu immediately anataka dada wa kazi, before you know it aliyekua mpenzi na sasa mume hapati chakula kilichopikwa na mkewe..nguo zake dada anafua..hata kusogeza viatu mama mwenye nyumba hataki anamwagiza dada wa kazi. Mambo ya chumbani nayo wakati wa uchumba alikua anaruhusu/kubali/taka hata mara nne au tano kwa wiki bila kulalamika/kuombwa wala kulazimishwa ila baada ya ndoa maumivu ya kichwa yanaanza utadhani pete ya ndoa ina sumu..uchovu nao hauishi wakati majukumu hayajaongezeka sana pengine hata kupungua yamepungua.

Mwisho wa siku mume anahisi kutengwa na kujisogeza zake pembeni ili asiendelee kukereka..anajiweka busy na kazi.. muda wa ziada bar/na marafikia etc , mwisho hata kumshika mkewe anakwepa/ogopa kwa sababu anajua matokeo yake tayari. Hapo sasa ndio unaanza kusikia malalamiko toka kwa mke , ohh hanijali..hamu na mie hana na blah blah nyingine wakati matendo yake ya mwanzo yalishaashiria kwamba hataki ukaribu na mume.

Nwy huo ni mfano tu ila ukweli ni kwamba baadhi ya watu ni vigeu geu...wakati wakionyeshwa mapenzi wanajisogeza...mapenzi yakiacha kuonekana wanalalamika wao wao!!So tatizo haliko kwa wanaume au wanawake pekee...lipo kwa wote.
 
Nani kakudangaya?????
 
Mtasema weeeeeeeeeee lakini habari ndo hiyo waoaji na waolewa siku hizi ni cheating kwa kwenda mbele,period,with or without justification.
 

Yaani, hapo umegonga ikulu, hali inakuwa hivyo kwenye ndoa karibu zote. Wakati wa uchumba mdada anajua principle zote za kuwa mke na anazifuata. Akishaolewa, zile principle zinageuzwa! Mme akiona shida akaanza kuhitaji yale yaliyopotea, milawama ya unnyanyasaji inaanzia hapo na communication breakdown ndo imeshatinga!!

Baada ya hapo cheating ni innevitable! Cheating wakati wa uchumba mbona si common hivyo?
 

Siwezi kuongelea watu wengine dia...wakati wa ujana wetu, the maximum we managed to handle was 1 wk. Kwa sasa tunaweza kukaa hata 2 bila tatizo wa mmoja wetu kuumwa...Hakuna malalamiko..!

Kama mwenzangu anakimbilia nje katika kipindi hicho ni juu yake...Ila mimi nakuwa poa tu!


That's my word too!

apate atakacho, akishamwaga yogurt yake anarudi kwa mama hambiliki.....hiyo red, kama hajiheshimu kwa upande wangu aibu yake itabakia kuwa yake, ckum2ma alifanya na akili zake timamu, so inategemea na aina ya aibu.

Kila siku ya Mungu ni darasa....Ahsante kwa kutuongezea msamiati!!


Hilo ni kwa watu ambao ni wabangaizaji..serial cheaters (experts) wanacheat hadi wanakaribia kwenda kanisani au kwa shekh kufunga ndoa.

Mambo ya cheating ni magumu na hakuna jibu rahisi...!
 
Babu Asprin! Kama kawaida yako hwishi visa! Haya wanaume wana genuine reason ya kucheat? Ipi hiyo? Na kwa vipi haiwahusu wanawake wakati wote tuko sawa, au wengine wako sawa zaidi??
 
Babu Asprin! Kama kawaida yako hwishi visa! Haya wanaume wana genuine reason ya kucheat? Ipi hiyo? Na kwa vipi haiwahusu wanawake wakati wote tuko sawa, au wengine wako sawa zaidi??

MwanajamiiOne..huu uzi wako umenifanya nikumbuke kitu. Mara nyingi sana nimekuwa nikisikia kuwa eti wanawake huwa hawachiti bila "sababu". Ingawa mpaka sasa sijaona mantiki ya hicho kisingizio lakini leo nimejiuliza; hivi wanawake huwa hawana matamanio? Na kama jibu ni ndiyo, je, huwa hawachiti kutokana tu na kumtamani mtu?
 
...usinikumbushe uchungu, pamoja na kuombwa msamaha zaidi ya mara saba na serial cheater wangu,
ipo siku nilimsikia kwa masikio yangu akijigamba hajutii!...aiseee....


Dah huyu kusema ukweli alikuonea Mbu khaa........hata kama hakuwa anajutia si angekaa nalo moyoni tu?? Pole bwana ila pia hongera kwa kuwa strong enough kusitisha unyanyasaji huu.


Word!
I salute you for this post darling. You are very brave na uliplay part yako kujaribu kuokoa jahazi.
 
Reactions: Mbu

Hahahahhaha Tigger unalo unacholitafuta hahaha eti nini?? wanawake wacheat kwa matamanio? hahaha hawaruhusiwi husikiii!! na akikamatwa na mumewe anaachika ila mwanaume anaruhusiwa maana yeye ndio binadamu hahaha!! Haya bwana namsoma Asprin kwa nguvu hapa loh.

Unanikumbusha mkaka mmoja yeye alikuwa hodari wa kucheat, ila alikuwa anacheat kijinga anacheat na kuhakikisha "yoghurt" yote inakwisha na akija nyumbani mke hamgusi hata ajipitishe na vikhanga vya India vilivyolowanishwa maji mwilini. Mwanaume hageuki hata kidogo, wiki, miezi, mbaya zaidi akawa na jeuri haswa mke akimwuliza ni matusi na kejeli. nyumba ikawa kituo cha police baada ya kudakwa na kibinti cha chuo.... miezi miwili hajulikani alipo, anapiga tu simu kuulizia wanae wanaendeleaje.

Siku kajikuta anagonganishwa na Pedejee anakuja juu kwa kibinti akaulizwa "Ehe we bwana we vipi, ulipohama kwa mkeo ukaja kuishi nyumbani kwangu ilihali hujui kodi nalipaje ulifikiria nini??" akajikusanya aje kwa mkewe, akamkuta mkewe na mimba ya miezi minne. Baba ni nani, kijana muuza duka la mkewe!!!
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…